tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,054
- 16,509
Ahahahahahaaaaaaaaaa-hawa wadogo zetu ni janga mkuu,
Kuna mmoja jana kaleta ofisi kwetu application letter kwenye bahasha yake na copy za vyeti viko bahasha bahasha ingine....eti ni graduate wa Muhimbili University.
hawa vijana sijui huko shule wanaenda kusoma au kukua tu.