Ajira za uhasibu

Barriz

Member
Nov 29, 2015
21
3
Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam ngazi ya shahada. Katika fani ya uhasibu kwa wenye makampuni au yeyote anaetaka kuajiri mwasibu anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi. Ahsanteni
 
Soko la ajira la sasa litakutupa mkono kama utaendelea kuwa na style hiyo mkuu...
Anyway...utatupa mrejesho wa pm.
 
Uhasibu unataka MTU akupm! Huko soko limeshakufa muda tu ,ukitaka jiajili mwenyewe la sivyo utangoja sana.
 
Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam ngazi ya shahada. Katika fani ya uhasibu kwa wenye makampuni au yeyote anaetaka kuajiri mwasibu anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi. Ahsanteni

Ajira siku hizi ngumu sana kuna waliomaliza shahada kama yako chuo hicho hicho miaka mitatu iliyopita lkn bado hawajapata ajira mpaka leo.. Jitahid tu kupitia matangazo ya kazi na kujaribu kuomba unaweza kubahatika..ila pia tafuta sehemu ya kujitolea hata bila malipo kujenga uzoefu wa kazi maana mpaka sasa wewe ni wa kufundishwa kazi ni sio wa kuajiriwa na kufanya kazi..lkn pia unaweza kujiendeleza kwa kufanya CPA angalau uwe na sifa za ziada..kama ungekua na uwezo ungefikiria kuunganisha masters ili angalau uwe tofauti maana watu wenye shahada kama yako mtaani ni wengi kweli...pendelea kutembelea tovuti ya mashirika ya kimataifa UNDP na uombe zile za kujitolea kuna wanaobahatika kupata huwezi jua...kwa kifupi ajira ni ngumu ndugu..ni kama vita tu sasa...kila la heri
 
Kwa mwaka wanamaliza zaidi ya Wahasibu 7000 kutoka vyuo vya Udsm,tia,cbe dsm dodoma na mbeya,ifm,arusha,kiu,mzumbe,saut.Bila kukomaa na CPA ajira ni ngumu.
 
Aiseeee bongo bana...
 
nenda mikoani huko ww hata utendaji kaombe then utatoka tu.Uking'ang'ana dar, Arusha, Mwanza, Mbeya Utasota. ajira za utendaji wa vijjini ni dili sasa
 
hayupo serios huyu!!!!!!!!haya ngoja nikupm maana nina biashara yangu ya kuuza karanga nataka mhasibu
 
Ajira siku hizi ngumu sana kuna waliomaliza shahada kama yako chuo hicho hicho miaka mitatu iliyopita lkn bado hawajapata ajira mpaka leo.. Jitahid tu kupitia matangazo ya kazi na kujaribu kuomba unaweza kubahatika..ila pia tafuta sehemu ya kujitolea hata bila malipo kujenga uzoefu wa kazi maana mpaka sasa wewe ni wa kufundishwa kazi ni sio wa kuajiriwa na kufanya kazi..lkn pia unaweza kujiendeleza kwa kufanya CPA angalau uwe na sifa za ziada..kama ungekua na uwezo ungefikiria kuunganisha masters ili angalau uwe tofauti maana watu wenye shahada kama yako mtaani ni wengi kweli...pendelea kutembelea tovuti ya mashirika ya kimataifa UNDP na uombe zile za kujitolea kuna wanaobahatika kupata huwezi jua...kwa kifupi ajira ni ngumu ndugu..ni kama vita tu sasa...kila la heri

Mkuu nashukuru kwa ushauri uliotukuka ntaufanyia kazi
 
Mheshimiwa hebu nieleweshe kuhusu CPA maana sina idea kabisa na kitu hicho
 
Kwa mwaka wanamaliza zaidi ya Wahasibu 7000 kutoka vyuo vya Udsm,tia,cbe dsm dodoma na mbeya,ifm,arusha,kiu,mzumbe,saut.Bila kukomaa na CPA ajira ni ngumu.

Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
 
Mulugo kaharibu elimu yetu sana. Accountant hujui maana ya CPA? Tena umesoma ud? Ingekua eagles college au kilimanjaro institute ukasema hujui cpa ni nini ningekuelewa au amazon, sio ud.

Pole sana.
 
hivi we dogo uko sawa kweli,yani umesoma A/c then huijui CPA,asa kama cpa huijui ACCA utakua ushawahi kuiskia hata?

Ahahahahahaaaaaaaaaa-hawa wadogo zetu ni janga mkuu,
Kuna mmoja jana kaleta ofisi kwetu application letter kwenye bahasha yake na copy za vyeti viko bahasha bahasha ingine....eti ni graduate wa Muhimbili University.
 
We UDSM ya wap huyu kasoma... Hakunaga accountant kilaza anaemaliza ata CPA hajui n nn... Tafuta kz fanya interview hakuna vya rais rais siku hz!! Juhudi zako zitakufikisha unapotaka ukitaka pm utangoja saana
 
Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa

Kusema ukweli stori yako ni nzuri sana ila jitahidi kuongeza ubunifu ili sisi wasomaji tusijue mwisho ukoje.

Ni mimi Malezo kukuletea habari hii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom