Kuna watu mnamawazo ya kukalilishwa hasa na media campaign kisa kumekuwa na kelele nyingi za kujiajiri watu wasiombe kazi...listen,inapotokea fursa au campaign za kujiajiri au tatizo la ajira...DOESNT mean employment has stopped! Ajira zipo japo zinachangamoto nimependa mbinu uliyoitumia kujitangaza,japo vichwa maji walio kalilishwa kujiajiri japo wao wenyewe hawana hata genge la nyanya wanakubeza...pambana tafuta ajira kwa style mbali mbali muhimu nikujiuza kwa namna kama hizi,pia kuwa na options nyingi ikiwemo kujiajiri...japo wange hupiga kelele mtu ajiajiri wakiwa makazini au wakisha hacha kazi na kuwa na mtaji,hata kujiajiri needs experience...so usikalishwe...you can build you own inspiration story...hachana na watu wa humu wamekalilishwa na medias