Differential Equations
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 204
- 200
Ndg zangu suala la ajira za ualimu limekuwa kitendawili kigumu kisicho na majibu
Mwezi wa December malalamiko yalipozidi sana kwenye media ndipo wizara husika ikawataka wahitimu wa 2015 watume vyeti kwa ajili ya uhakiki kumbe hii nayo ilikuwa ni kupunguza maneno ya media
Kwa sasa suala hili cha ajabu kabisa hakuna hata kiongozi mmoja mwenye uchungu nalo
HOJA YANGU KWENU
1: Hiki tunachofanyiwa na watawala hatima yake ni nn??
2: Je ni kweli kwamba ajira mpaka 2019 mwaka mmoja kabla ya ballot box??
Mwenye uelewa na hoja zangu ajitokeze najua vigogo wapo wengi humu.