Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
kama kweli amna watatujuza tu ila najua zipo tuwaskilize wabunge bunge likianza tuona wanamachungu gan juu yetu
 
Kwan kozi zingne zinazodahiliwa zina ajira kutosha serikalin...muwambie wadogo zenu wasome tu ualim kwajil ya competion nextyr...afu mbona waziri wa elimu amegusia tu walimu wa sayans mwaka huu...hii inamanisha nn..?
 
Waziri bungeni amesha maliza huu utata. Hakuna tena upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa. Over
 
Waziri bungeni amesha maliza huu utata. Hakuna tena upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa. Over

Waziri hajamaliza utata bali swali la aliyeuliza ndilo lilipelekea waziri ajibu swali kama lilivyo ulizwa na mbunge kuhusu utatuzi wa tatizo la upatikanaji wa walimu wa sayansi.
 
Waziri hajamaliza utata bali swali la aliyeuliza ndilo lilipelekea waziri ajibu swali kama lilivyo ulizwa na mbunge kuhusu utatuzi wa tatizo la upatikanaji wa walimu wa sayansi.
mh. Kwa hiyo pamoja na hotuba ya kikwete bado watu hawaamini
 
mh. Kwa hiyo pamoja na hotuba ya kikwete bado watu hawaamini
Muhimu ni kusubiri wakati ukifika tuone kama watatoa au hawatoi na sio vizuri kukatisha watu tamaa.Kila mwaka watu kama nyinyi huwa hamkosi kuja na kauli kama hizi za kukatisha tamaa wahitimu na mwisho wa siku nafasi hutoka kama kawaida.
 
Sipo hapa kukatisha tamaa watu ndugu yangu ila
Ngoja tusubiri.........
 
Wale waliokua wanasikiliza bunge leo mmesikia waziri wa Elimu ametoa tamko kuhusu swala la ajira mwaka 2015 kuwa wao wanaupungufu wa waalimu wa sayansi na hesabu.... kwa hiyo wale wa Arts hakuna chenu

source bungeni leo
 
fake ID

Nami ni kama nimemwelewa hivyo hivyo....

Jamaa kama kafurahia hivi.
 
Last edited by a moderator:
Wale waliokua wanasikiliza bunge leo mmesikia Waziri wa Elimu ametoa tamko kuhusu swala la ajira mwaka 2015 kuwa wao wanaupungufu wa waalimu wa sayansi na hesabu.

kauli yako pumz r said:
... kwa hiyo wale wa Arts hakuna chenu

source bungeni leo

acha Upotoshaji wa habari, amesema haina tatizo la walimu wa sanaa! na sio kwamba haijir walimu wa sanaa.....

Na izo ni kauli mbili tofauti!
ila angesema serikali mwaka haiwaajiri walimu a sanaa, na muangalie mishe zingne hapo kwel hata mim ningesema walimu wa art amna chenu....

ila kauli za chni chni iz ni chanzo cha vurugu na ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguz mkuu, kumbuka hata migomo na vurugu zinazotokea mavyuoni na mashulen wa sanaa ndo wanakua mstar wa mbele! serikali iliangalie isije ikasababisha civil wa
 
sasa mkuu kama haina tatizo na waalimu wa Arts wataajiliwa kwa kazi gani serikali inahitaji sayansi na hesabu mm mwnyw ni muhanga wa hilo
 
na waliosoma bed kama bed psychology,bed counseling bed math watawaajiri au nao ni wa sanaa
 
sasa mkuu kama haina tatizo na waalimu wa Arts wataajiliwa kwa kazi gani serikali inahitaji sayansi na hesabu mm mwnyw ni muhanga wa hilo

Huo ni ulemavu wa akili za ccm endapo watafanya ivo: ni kwasababuzifuatazo

1-pesa hakuna kutokana na ufisadi walioufanya na hatimae kuwa na bajet hewa ambayo kama una kumbuka wahisan wamegoma kutoa pesa.

2-pesa zote wanataka zfidie kwenye uchaguzi na ndo inaweza kuwa sababu yakutoajiri na wakijua walimu wa art ndo mpo weng zaidi kuliko hawo tajwa

*Tatizo la walimu hata siku moja aliwezi kuisha sio wote walioajiriwa wanaenda kuripot uko interior kumbuka kuna ambao pia wanaacha kabisa, ivo hata serikali haiwez kurupuka ivo na kusema awaajiri wakati mlipokua chuoni si ulijaza fomu ya kaz?

iwe art au sayansi wote mtapata ajira mwaka huu, tatizo ni mwakani endapo sisiem wataendelea kutawala!
 
na waliosoma bed kama bed psychology,bed counseling bed math watawaajiri au nao ni wa sanaa

Utambue kwanza lengo la serikalh kuwekd izi kozi mavyuoni ni kwa ajili ya kupata wakufunzi,.

sasa mambo yamebadilika badala ya wewe wa bed uende ukawe mkufunz anapelekwa ata ambaye ajasoma tatizo rushwa na kujuana ingawa wapo ambao wanapita bila vkwazo ivyo.

hapo mwenye advantage kubwa ni uyo wa maths.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom