chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Duuuh na leo pia imekata mambo bado ni bila bilaaaaa
Duuuh na leo pia imekata mambo bado ni bila bilaaaaa
Nyie mjipe matumain ili mje mjitoe roho kwa kamba vzr nyie subirin uamuz mgum wa serikali tu no way
Nyie walimu mnaosubiri ajira hakika mjiandae kisaikolojia kwa kupokea uamuz mgumu utakaotangazwa na waziri wa elimu muda wowote kuanzia sasa kuwa mwaka huu haitaajiri walimu wapya coz walimu wamejaaaaaaaaaaa na mashuleni hakuna tatzo la upungufu wa walimu
Wale wabeba Bahasha za Khaki wanatamani ajira za Eduche zisitokeee
Ha ha ha ha haWakati mnapiga education waliwacheka Leo MTU anasota 6 years home no employment. ya maana mpaka anajisogeza kwenye vi laki 2 graduate mzima sasa akiona wewe unaramani inayosomeka lazima aamshe chuki....
Wakati mnapiga education waliwacheka Leo MTU anasota 6 years home no employment. ya maana mpaka anajisogeza kwenye vi laki 2 graduate mzima sasa akiona wewe unaramani inayosomeka lazima aamshe chuki....

Acha kuwapa hope waliosoma education wengi katika family zao ndio marking scheme. ..
Kuzunguka na bahasha ni maisha tu ipo siku..