Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Hapo sijaeelewa vzr inamana kipi ni kipi?
 
Attachments

  • 1423552269370.jpg
    1423552269370.jpg
    74.8 KB · Views: 279
watabeba sana tu bahasha huku kwetu nafasi za tumbaku zilitoka 40 waliokwenda interview ni 7000....hiki ndicho kinachowauma....
 
Yeyooo! kitu hicho hewan,dakka5 zilizopita,

Na mashaka na maadili yako kama Mwalimu "yooo! Kitu hicho hewan, dakka5 zilizopita"

Kwa mtindo huu watoto wetu watapata zero sana mwl unaandika kama unarap
 
Nyie walimu mnaosubiri ajira hakika mjiandae kisaikolojia kwa kupokea uamuz mgumu utakaotangazwa na waziri wa elimu muda wowote kuanzia sasa kuwa mwaka huu haitaajiri walimu wapya coz walimu wamejaaaaaaaaaaa na mashuleni hakuna tatzo la upungufu wa walimu
 
Ila kama akitangaza itakuwa poa ili tujue cha kufanya kuliko kusubiri tu kwa matumaini makubwa
 
Ila kama akitangaza itakuwa poa ili tujue cha kufanya kuliko kusubiri tu kwa matumaini makubwa

Hapo kwel mkuu, mana kila kukicha walimu wanalia wanasubir tamko la serikal.

mana serikali ikitoa tamko watu watajua nini cha kufanya.
 
Hapo kwel mkuu, mana kila kukicha walimu wanalia wanasubir tamko la serikal.

mana serikali ikitoa tamko watu watajua nini cha kufanya.

Ndo hivyo, shule zipo za private hata primary za English Medium zinatuhitaji pia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom