Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Acha uongo ADM aliyejibiaaa hiyo hoja sio kawambwa Ni mulugo.

Then piga ua walimu hawawezi kutosha hata siku moja na ndomana mwaka jana waliajiri awamu tatu.

Istosheeee mwaka jana mimi nimefanya field wilaya ya Rwangwa mkoani Lindi nakumbuka mwalimu wa Geog nilikua mimi peke yangu shule nzima na shule za maeneo yale zilikua zina walimu chini ya watano.
Then leo unambieee walimu wametosha mbona itakuaaa ni upoyoyoooo
 
Majina yameoneka kwenye tovuti ya tamisemi ghafla yameondole duu kunamchozo unafanyaka.
 
Walimu hoye najua mu6ma munkali wa ajira ndo linalo wazingua vichwa vyenu mbona muna haraka kwani wenzenu mwaka jana ilikuaje c mwezi wa 4 jamani kuwa mpole kama maji yaliyo kwa chombo wadau wangu.
 
Walimu hoye najua mu6ma munkali wa ajira ndo linalo wazingua vichwa vyenu mbona muna haraka kwani wenzenu mwaka jana ilikuaje c mwezi wa 4 jamani kuwa mpole kama maji yaliyo kwa chombo wadau wangu.

Waambie hao kazi yenyewe haina hata interview. Badala ya kujiari wanashinda humu...
 
Mh ualimu sio sekta ya waliofeli huyo wa pass akauze vitumbuaaaaa tu.
 
kuna watu wanaona gele mbaya.....hehehe walioitwa kufanya interview 17000 wanaohitajika ni 80 kazi kweli kweli....ndio kinachowasumbua na kuona gele
 
Hakuna gere wala nini hizo hela mnazotumia kuunga bando saivi mngekua na mitaji mkubwa sana ndg tatizo hamtaki kujiari mtasubiri sana nyie walimu...mtazeeka na chalk
 
Vaeni miwani msioneee gereeee

Ajira zitatangazwa this month kuripoti 2nd march...

Acha kupoteza mda na watu wasiokusaidia lolote kila MTU ana namna yake yakuishi Kama ye anajiona mjasiriamali abaki nao tu....
 
Hakuna gere wala nini hizo hela mnazotumia kuunga bando saivi mngekua na mitaji mkubwa sana ndg tatizo hamtaki kujiari mtasubiri sana nyie walimu...mtazeeka na chalk

Ndugu pilipili usiyoila inakuwashia nini? Kama MTU kachagua maisha ya ualimu wewe kinakuuma nini?

Usishindane na watu bila sababu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom