kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,999
- 2,582
Mh KITAGANDA serikali inaraha yake haina maana kuwa wote wanaosubiri ajira wapo kitaaa wengine tulishapata shavu since week ya kwanza tunamaliza chuo bt tunataka ajira serikalini coz huku private hakuna uhuru
Nimekuelewa kumbe unataka uwe na ajira mbili afu hii ya public utakua unategea eti eh??