Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
sasa wale jkt wanamafunzo na wamesema wako tayari kupambana na polisi kwa kuwa wanamafunzo mazuri kuliko polisi....sasa ww mkuu una mafunzo ya kupambana na polisi?

Na hao jkt watapambana je na polisi wakati hawana silaha
 
Inanitia wasiwasi kama hawa watu wanaocomment humu ni walimu manake i see no future kwa hao watoto watakaoenda kufundishwa na hawa
 
HILI NDIO GHETO
Andamaneni na nyie siumesikia vijana wa JKT waliomaliza mkataba wao wakarudi mtaani wanataka andamana ungeni mkoni.
 
Hivi yule kiongozi aliyesema wataisoma namba akaongezea kusema tutawamwagia changa la macho. Hii naona kama inawahusu wasaka tonge.
 
Na leo siku imekwenda hiyo. solution ni kuandamana tu.
 
Na leo imekata bila kudisplay Nomino? duuu hawa raia wanataka nini?
 
Mkiandamana tutawapiga sana hii ni nchi ina taratibu zake.
Kwani kuajiriwa na serikali ni lazima??? Mkajiari mfungue hata vituo vya tuition.
 
Acha kucheza na nguvu ya umaa wewe KIDAGANDA watu wanafuatiliaaa haki zao za msingi
 
Mwanangu mimi naona unatuzinguaa tu kama vipi kaushaaa unajuaaa unazidi kututiaaa magazabu
 
Kweli chichimizi jaribu kutafuta channel zingine hawa serikali hawaeleweki hiyo ajira unayoisubiri inaweza kuwa kero kwako.
 
Last edited by a moderator:
Mh KITAGANDA serikali inaraha yake haina maana kuwa wote wanaosubiri ajira wapo kitaaa wengine tulishapata shavu since week ya kwanza tunamaliza chuo bt tunataka ajira serikalini coz huku private hakuna uhuru
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom