Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Ministry of Education and Vocational Training

This site is down for maintenance. Please check back again soon. Tovuti inafanyiwa marekebisho. Tafadhali iangalie tena muda sio mrefu
 
Kuweni wapole. Mpka ikfunguka hamna mpya apo bas ujue hal tete
 
Bora muandamane tu, la sivyo mtapeana matumain hewa. Nchi mwaka huu ina mambo mengi yanayohitaji pesa, na km mjuavyo pesa yaweza tengwa kwajli ya ktu flan badae divergency ikatokea
 
sasa wale jkt wanamafunzo na wamesema wako tayari kupambana na polisi kwa kuwa wanamafunzo mazuri kuliko polisi....sasa ww mkuu una mafunzo ya kupambana na polisi?
 
nimewapigia simu tamisemi. wanesema wanangoja kibali na pesa kutoka wizara ya elimu. hicho ndo kilicho bakia
 
Tamisemi wanasema wanangoja kibali kutoka wizara ya elimu na pesa wapewe ila kila kitu tayari.

Nimewapigia simu juzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom