chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Pata utulivu mkuu mda bado coz mwaka jana mzigo ulichomoka jioni jioni hivi
Heheeeee hayawi hayawi hayawi sasa yamekuaaaa
Heheeeee hayawi hayawi hayawi sasa yamekuaaaa
Wanaingiza majina now kwenye tovuti
Wanaingiza majina now kwenye tovuti
Daaaah labda tusubiri kesho watatupiaaaa Nomino