Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Jamani kuna post iliwekwa hapa kwenye huu uzi kutoka Serikali imedumu kwa dakika 9 tu na kuondolewa sijui kwa nini
 
Maana hii inaweza kuwa na maana kuwa walimu wa arts upatikanaji wao si tatizo ila tatizo lipo kwenye upatikanaji wa walimu wa sayansi Hata hivyo hajasema kuwa wataajiriwa wote au la
 
exactly hata mie nilikua nfikiria hivo....yaani upatikanaji wa walimu wa arts hausumbui kwa sasa na kwa muda ujao...lkn kwa walimu wa sayansi upatikanaji wao kwa sasa na kwa muda ujao bado ni mgumu
 
Taarifa kwa walim wahitimu kumekua na tetesi kadhaa wa kadhaa juu ya mpango mpya wa ajira za waalim wahitimu kutoka vyuo mbalimbali vya elimu nchini mwishon mwa mwaka jana,eidha wizara ya ajira na utumishi wa umma TAMISEMI Inapenda kuwaarifu walim hao wapya kua serikali haijawasahau na tumeshakamilisha taratibu zote za ajira zao ikiwemo bajeti ya malipo yao ya awali na hivyo majina yao na ya vituo vyao vipya vya kazi yatatangazwa na waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi pamoja na matokeo ya kidato cha nne uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana mnamo tarehe 15/02/2015

JAMANI KUNA MDAU AMENTUMIA HIYO TXT...NA AMENIAMBIA JOB TAYARI MUDA WWTE ZITAKUA ON AIR
 
Lasivyo tusubiri hiyo kesho alafu tuone uhalisia wa tarifa hiyo
 
taarifa imetoka kwa jamaa anaefanya kazi wizara ya fedha....so tusubirie tuone itakuaje.....lkn msiamini 100% wakuu
 
Wizara ya fedha na sekretarieti ya ajira ya utumishi wa uma wapi na wapi?

wizara ya fedha walisha fanya yao mapema sana ktk bajeti iliyopitishwa mwaka jana so kinachofanyika ni swala la utumishi kutoa hidhini tu
 
usiwe unependa kubisha kila kitu kinachowekwa mezani....huwezi jua yule mtu wa wizara ya fedha ana mahusiano na watu gani ktk wizara zinazosimamia elimu....kwn mtu akiwa ktk wizara flani hawezi kufahamu yanayojiri ktk wizara zingine....wizara nfkr km sekta zingine zilizokua ktk system moja zinafanya kazi kwa kutegemeana....after all nilishasema mm mwenyewe nimetumia hiyo txt na mtu ambae tunaheshimiana nae....na pia nimewaelez wadau kua hicho kitu kinaweza kua kina ukweli au laa?? ss usianze kuniuliza vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wangu ilhali mm mwenyewe nimetumia hiyo txt.....unabisha hlf kesho mambo yanakua fresh utasemaje sasa?
 
Sawa mkuu nimekuelewa bt wasiwasi wangu ulikua ni connection kati ya hizo wizara mbili tofauti
 
usiwe unependa kubisha kila kitu kinachowekwa mezani....huwezi jua yule mtu wa wizara ya fedha ana mahusiano na watu gani ktk wizara zinazosimamia elimu....kwn mtu akiwa ktk wizara flani hawezi kufahamu yanayojiri ktk wizara zingine....wizara nfkr km sekta zingine zilizokua ktk system moja zinafanya kazi kwa kutegemeana....after all nilishasema mm mwenyewe nimetumia hiyo txt na mtu ambae tunaheshimiana nae....na pia nimewaelez wadau kua hicho kitu kinaweza kua kina ukweli au laa?? ss usianze kuniuliza vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wangu ilhali mm mwenyewe nimetumia hiyo txt.....unabisha hlf kesho mambo yanakua fresh utasemaje sasa?

eeh! nadhan ule msemo kwamba mjumbe hauwawi utumike, bnafs nashukur kwa taarfa na usichoke kutuupdate, hili jukwaa ni kama dampo kila mtu ana hak ya kurusha lake so uckate tamaa
 
Taarifa kwa walim wahitimu kumekua na tetesi kadhaa wa kadhaa juu ya mpango mpya wa ajira za waalim wahitimu kutoka vyuo mbalimbali vya elimu nchini mwishon mwa mwaka jana,eidha wizara ya ajira na utumishi wa umma TAMISEMI Inapenda kuwaarifu walim hao wapya kua serikali haijawasahau na tumeshakamilisha taratibu zote za ajira zao ikiwemo bajeti ya malipo yao ya awali na hivyo majina yao na ya vituo vyao vipya vya kazi yatatangazwa na waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi pamoja na matokeo ya kidato cha nne uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana mnamo tarehe 15/02/2015

JAMANI KUNA MDAU AMENTUMIA HIYO TXT...NA AMENIAMBIA JOB TAYARI MUDA WWTE ZITAKUA ON AIR

Aaaamin
 
Leo ndo 15/2/2015 lakn kmya website ya wizara haifunguki labda. wataweka tamisemi n 4m4 walitangaza Jana lakn ajra za walm kmyaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom