Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Form four resutls zinatoka jumapili so hapo maybe walimu tuanze kukaa chonjo japo hawa watu mi cwaelewi maana mwaka huu wamekaa sana kimya kuliko miaka ya nyuma.....miaka ya nyuma muda km huu lazima wanakoa wanatoa updates.

Hata mwaka jana japo walichelewa kutoa ajira lkn walitoa updates mapema nfkr mwanzoni mwa february tu wakawa wametoa updates....lkn mwaka huu naona zzzzz.
 
Duuuh so lini ztatoka. Maana mara march 16. Wengne week ijayo duuuh mkanganyiko
 
sakharov

Kijana kuwa na subira, ndo kwanza february hata haijaisha, post zitatoka tu, hata mwaka jana ilikua hvo hvo but hatimaye zikatoka.
 
kwa walio kua wanafatilia uzinduzi wa sera ya elimu 2014 na maabara TBC watuambie kilichojiri kuhusu ajira za walimu 2015
 
na vp kuhusu kuajiriwa kwaa walimu wa arts? wataajiriwa wote km miaka ya nyuma ama kutakua na mabadiliko ya kutoajiri walimu wa arts na kuajiri walimu wa sayansi pekee?

Na je washapanga ajira au bado hawajapanga?

walimu wataajiliwa kulingana na mahitaji. Pia kuhusu ajira zimeshapangwa bado kutangazwa tu!
 
Uzinduzi wa sera ya elimu haujazungumziaa swala la ajira mimi nimefatilia na nakala yake naituma hapo chini soon
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA ...
www​.parliament.go.tz/.../8370f-TAARIF...
5 Feb 2015 ... i) Sera Mpya ya Elimu ya Mwaka
2014 ... b) Baada ya Uzinduzi rasmi wa Sera
ya Elimu , Serikali.
 
Kibali kilishatoka tangu mwaka Jana kijana cha walimu elfu 32 ambao miongoni mwao ni walimu walioachwa awamu ya kwanza mwaka Jana wakaajiriwa baadae.....

mkuu kimetoka mwaka jana mwishoni kuelekea mwaka huu na walio chelewesha ni hazini kwani sekretarieti ya ajira wao walipokea maombi ya wizara na kuyatuma hazina ili km kunapesa ya kulipa idadi hiyo iliyoombwa na baada ya hazina kufanya yao basi MOEVT nao wakafanya yao!

Tuvute subira mambo yatakuwa mazuri soon!
 
duuh danganyika ya wadanganyika, ni kwl tutafka bt cjui namnagan.....
 
mkuu kimetoka mwaka jana mwishoni kuelekea mwaka huu na walio chelewesha ni hazini kwani sekretarieti ya ajira wao walipokea maombi ya wizara na kuyatuma hazina ili km kunapesa ya kulipa idadi hiyo iliyoombwa na baada ya hazina kufanya yao basi MOEVT nao wakafanya yao!

Tuvute subira mambo yatakuwa mazuri soon!

ok nimekupata mkuu.....kwa unavyofahamu ww je watatoa job kwa walimu wote?
 
Yaan angejitokeza mmoja mwenye fact kuhusu tu ni lini.majina yatatangazwa angesaidia weng sana na mm bnafsi. Nnachoamini ajira zpo ila lini???????????
Maaana soon soon from jan mpk leo tunaambiwa soon everything will be ok. Mmmmh
 
Acha uongo chichimizi. Kikwete amesema mwaka huu ataajiri maelfu ya walimu.
 
Yaan angejitokeza mmoja mwenye fact kuhusu tu ni lini.majina yatatangazwa angesaidia weng sana na mm bnafsi. Nnachoamini ajira zpo ila lini???????????
Maaana soon soon from jan mpk leo tunaambiwa soon everything will be ok. Mmmmh

Ni kweli mkuu watu tumeshachoka kuambiwa soon, kingine kinnachoumiza vichwa ni, je zitakua kwa wote au ni kwa science tu?
 
Kikwete Kasema kuwa Mwaka Jana wameajiri 36 elf mwaka huu wapo wengi tu wanasubiri kuajiriwa,ila kwa upande wa walimu wa sayansi kufika 2018 tatizo litakuwa limepungua kama sio kuisha
 
Kawa-Mbwa kakata mzizi wa fitina. Walimu wa arts wapo wengi mpaka wa ziada. Mf katoa shule za Tabora manispaaa.

source ITV tz habari tar 13/02/2015. 20:05
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom