Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 4,806
- 11,259
Vipi kuna muda hukuwa hewani ? Maana hilo tangazo lilikanusha kwamba ni fake,nadhani hujaona updateSiku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya...japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya Tamisemi halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?....
Ndio mkuuVipi kuna muda hukuwa hewani ? Maana hilo tangazo lilikanusha kwamba ni fake,nadhani hujaona update
Ni fake mkuuNdio mkuu
Mi nakushukuru sasa hivi mkuu..hakuna cha feki wala nini ajira zitatika hivyo hivyo Poor Brain To yeye dronedrake Intelligent businessman 18,750 mtakuja kunishukuru zikitoka idadi hii ndio utajua nchi hii kuna watu waina tatu πππ§π²π π§ππ‘π’, π°ππ₯π π§ππ‘π’, π§π π°ππ§ππ§ππ‘π’(π°ππ€πππ π§π²ππ¬π’)
pigeni screenshot hivi karibu mtaona mkeka Kigogo kigogoMi nakushukuru sasa hivi mkuu..
Hiyo badae ntakua nisha changanyikiwa na futari
ππππππ
Unaupiga mwingi sana mkuu
Mama anaupiga mwingi
Na wewe pump unaupiga mwingi
Huyo proton pump anachopiga nyingi labda pump tu.Mi nakushukuru sasa hivi mkuu..
Hiyo badae ntakua nisha changanyikiwa na futari
ππππππ
Unaupiga mwingi sana mkuu
Mama anaupiga mwingi
Na wewe pump unaupiga mwingi
Huwa zinatangazwa mwaka huu tutaajiri Elfu 50.Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya.
Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
sawa screenshot utakuja kunishukuru we unafikiri kila mtu humu ni grass cutter?Huyo proton pump anachopiga nyingi labda pump tu.
ππππππππππππHuyo proton pump anachopiga nyingi labda pump tu.