Ajira za muda Tume ya Taifa ya uchaguzi

Kv-london

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,823
4,826
Aiseee vijana mliopo mtaani na Hanna kaz changamkia fursa

Zile ajira zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi kwa sasa zimehamishiwa katika ngazi za halmashauri

Hivyo kupata taarifa za ajira hizi fika halmashauru yako au kwa mtendaji wako wa Kara au kijiji huku moshi tayari

Nazi ni kwako tu
IMG-20190703-WA0000.jpeg
IMG-20190703-WA0002.jpeg
IMG-20190703-WA0001.jpeg
 
Wamefanya hivyo ili makada wa ccm ndiyo wapate hizo nafasi maana wanajua vijiji vingi watendaji ni ccm.
Ule utaratibu wa awali ulikua mzuri hakuna kujuana na unaenda kufanya kazi popote naona ccm itakua imeingilia mchakato huo
 
Try you luck mzee ukiishia kulaumu kila kitu hatuwezi kufika,waache vijana wakapambane wapate hats ela ya bando tu
Wamefanya hivyo ili makada wa ccm ndiyo wapate hizo nafasi maana wanajua vijiji vingi watendaji ni ccm.
Ule utaratibu wa awali ulikua mzuri hakuna kujuana na unaenda kufanya kazi popote naona ccm itakua imeingilia mchakato huo
 
DAH , NIMEENDA OFISI ZA HALMASHAURI HAPA KIGAMBONI , NI KWAMBA SIJUI NI MIMI , NDO SIELEWI UTARATIBU , AU WAO KUNA WATU WAO MAANA , NI KAMA HAKUNA TAARIFA ..

HERE , I AM ASKING , HIVI KAMA WILAYA UNAYOKAA HAWAJATOA RELEASE STATEMENT JE TUFANYEJE ?
 
m mwenyewe nimeenda ofisi za kata tegeta nimeambiwa hawana taarifa yeyote
 
Back
Top Bottom