Ajira za muda Tume ya Taifa ya uchaguzi

Ajira za muda Tume ya Taifa ya uchaguzi

Nata hapa tandika mtaa wa vomero ilipo serikali ya kata ya tandika pia hawana habari yeyote yaani me ndo nimewapa taarifa
 
DAH , NIMEENDA OFISI ZA HALMASHAURI HAPA KIGAMBONI , NI KWAMBA SIJUI NI MIMI , NDO SIELEWI UTARATIBU , AU WAO KUNA WATU WAO MAANA , NI KAMA HAKUNA TAARIFA ..

HERE , I AM ASKING , HIVI KAMA WILAYA UNAYOKAA HAWAJATOA RELEASE STATEMENT JE TUFANYEJE ?
Ipi mjimwem au vijibweni
 
Apo ni kutembelea kila mara lazma watangaza na watabandika tangazo wanaweza bandika tangazo leo mwisho wa kuomba ikawa kesho kutwa alafu hili zoezi linaenda ki awamu kutokana na uchache wa machine iyo tar 18 ndo linazinduliwa rasm uko mosh na arusha ko baada ya kuzindua nadhani ratiba rasmi ya kila mkoa itakuwa wazi. kazi itabaki kwako kupigana upate nafasi
DAH , NIMEENDA OFISI ZA HALMASHAURI HAPA KIGAMBONI , NI KWAMBA SIJUI NI MIMI , NDO SIELEWI UTARATIBU , AU WAO KUNA WATU WAO MAANA , NI KAMA HAKUNA TAARIFA ..

HERE , I AM ASKING , HIVI KAMA WILAYA UNAYOKAA HAWAJATOA RELEASE STATEMENT JE TUFANYEJE ?
 
Nenda halmashauri kabisa uliza apo hao serikali za mitaa wanachelewaga kupata taarifa wanaweza kupata taarifa dedline ishapita kitamboooo
m mwenyewe nimeenda ofisi za kata tegeta nimeambiwa hawana taarifa yeyote
 
Kama huna kadi mtafute mwenyekiti wako wa Shina akufanyie mpango upate kadi utapata kwa urahisi hizo nafasi.
 
MAY BE , WHAT I CAN GUESS NI KWAMBA , KUTOKANA NA UFINYU WA BVR KITS , ZOEZI LINAENDESHWA KWA AWAMU KWA KILA MIKOA KITAIFA IF THAT SO , HUKU KWA MAKONDA BADO SANA MAY BE ??? MAANA MPAKA LEO HAKUNA ANY INFO..

HINTS:
THIS IS MY GUESS INFORMATION .
 
Labda pambana ya ela yote kama uko jobless upate pa kuanzis
 
Wadau wa mbeya city ikifika awamu yetu tupeane update
 
Dah.. Nimekimbilia kuchek dedline nkakuta nipo nje ya wakati. Nkaishia kusonya tu. Ikabd nmchek WEO chap.. Nae hajui chochote.. Hv kwa halmashauri n ofisi zipi wanahusika na hiz mambo niende moja kwa mojaa
 
Back
Top Bottom