MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,004
Kenya nchi nzima katika county mbalimbali kumeendelea mazoezi makali kwa vijana wanaojitokeza kutaka kulitumikia jeshi la polisi....
Wamekuwa wakikaguliwa, miili, urefu, AFYA na kufanya mazoezi magumu,
Leo Dada mmoja alianguka na kuzimia kisha kifo chake kufuata wakati WA kukimbia mchaka chaka, juhudi za kumuokoa hazikuwezekana.....
Picha vijana wengi WA kikenya wasio na ajira wamejitokeza kujiunga na jeshi,,,, wengi wamepigwa chini kwa kukosa vyeti ama kuleta vyeti feki