🤣 🤣 🤣 🤣 ukisoma huu uzi kunzia mwanzo, utagundua kwamba maoni 98% yalikuwa yametabiri matokeo. Ila na wewe kwa nini hukumuonya dogo baada ya kusoma maoni yetu?
Mkuu
Uzuri Wa Jamiiforums.com Ukileta Jambo Lolote Utapata Ufafanuzi Na Utaonywa Haraka Sana, Ila Ukiwa Mgumu Ndiyo Yatakukuta Kama Ya Thread Hii
Mr Kuku Ilianza Taratibu Kujadiliwa Na Watu Wakaonywa Haraka Sana, Waliopuuza Leo Hoi
Kuna Jamaa Yangu Yupo Hoi Kutokana Na Kuku. Akiamini Ametusua Maisha
Hamadi Anaambiwa Account Zimeshikiliwa Na Vyombo Baadaye Utakatishaji
Mwana kulitafuta mwana Kulipata... safi sana ulipewa ushauri ukaona jamaa wanawaonea wivuMREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Nachojua ni kwamba amaepewa masharti ya kazi,kama anaweza kuyatimiza ayatimize,kama hawezi aachane nayo.Kama ana mashaka pia aachane nayo.After all kazi za bure ziko nyingi sana.
Mkuu hakuna kazi kakutana na matapeli wa mtandaoni acheni uzwazwa yani mapaka hapo hamjashutuka vipi nyie. Hilo shirika lina tovuti?Habari za majukumu ya kila siku ndugu zangu. Poleni na majukumu
Nielekee Kwenye mada. Nina mdogo wangu amefanya usaili katika shirika la LIVING FOUNDATION hapa Dar. Mdogo wangu amepata nafasi ya kufanya kazi Kwenye shirika, lakini nina wasiwasi huu
1. Wameambiwa watoe hela ya mafunzo 850,000/=
2. Hela ya usajili 700,000/=
3. Hela ya kukatia visa 150,000/=
4. Hela ya tahadhari 3,000,000/=
Hela ya tahadhari inatakiwa ikae Kwenye fixed account ambapo account atakayofungua itabidi imilikiwe na shirika siyo yeye mwenye account.
Je, kwa waliowahi kufanya kazi Kwenye hili shirika kunaukweli wowote au tunataka kupigwa?
Najua humu ntapata mrejesho mzuri.
NB: Pesa inatakiwa jumatatu iwe imekamilika yote.
Nawasilisha
Wala mimi sio mmiliki ila nashindwa kuelewa anacholalamika ni nini hasa.Alichopaswa kujiuliza ni IS IT WORTHY IT?kwa sababu kila kitu kipo very openMmiliki wa shirika huyu hapa
Hiyo hela ulitoa wewe mwenyewe? Dogo alikabidhi vipi hiyo pesa? Yan ana kwa ana, kwa simu au kwa bank?MREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Anaonekana tuMmiliki wa shirika huyu hapa
Tulimshahuli sisi akatuona wajinga,...ukisoma huu uzi kunzia mwanzo, utagundua kwamba maoni 98% yalikuwa yametabiri matokeo. Ila na wewe kwa nini hukumuonya dogo baada ya kusoma maoni yetu?
Imekula kwakeTulimshahuli sisi akatuona wajinga,...
We mjinga sana, kwani hayo yote hukuambiwa humu, siku nyingine Msije kuomba ushauri Kama tayari mnakuwa na misimamo yenu. Tena huyo dogo anatakiwa akuchukie maisha yake yote maana ulitakiwa kumuingoza na kumshauri kwani ulishaambiwa na wadau kuwa hao ni matapeli. Et nimeshanawa mikono juha wa karne kabisa wewe.MREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni