Ajira ya waandishi wa habari na watangazaji. Duuuuu

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
85
Hivi mbona hata siku 1 sija ona mtu au tangazo kwaajili wa waandishi au watangazaji? Au ndo hawanaga nafasi kwa jf?
 
Mbona MCL utoa matangazo ya kazi za waandishi wa habari kwenye kampuni yao kupitia magazetini? Soma magazeti utapata ufahamu wa yale unayoamini kuwa hayatangazwi.
 
Hivi mbona hata siku 1 sija ona mtu au tangazo kwaajili wa waandishi au watangazaji? Au ndo hawanaga nafasi kwa jf?
Kazi za uandishi ni wito, ukiwa nao, utafuta chuo mwenyewe, utajisomesha, ukimaliza utafuta newsroom ya kufanyia mazoezi kwa vitendo, ukionekana unaweza, watakuchukua!, ukionekana huwezi watakutosa, na kama una wito, utahamia newsroom nyingine kuanza moja na nyingine na nyingine mpaka upate wito wako utimie!.

Kwani tangazo la kazi za upadiri na uchungaji unalionaga?. `Kazi nyingine ya wito ni ualimu wa primary serikalini, kani hua unaona matangazo ya kazi za ualimu?.
 
I seek for job/work in Computing & Information Technology
I have professional skills in:
Network Installation Repair and Maintenance
Computers Repair and Maintenance
Graphics Design
Web Design
Database
0718888656 or 0752507004
giftkiwelu@yahoo.com
 
Back
Top Bottom