Nashukuru kaka. Na vipi kuhusu barua, inakua general au vipi?
Usitumie general kiongozi kila ukitaka kuapply for a position attach barua then apply Ikitokea position nyingine untaka kuaaply una delete iliopo una attach nyingineyo
Wadau naomba mnisaidie hapa, barua ya kaz unaweza ukaiandika kwa Microsoft word au lazima uandike kwa mkono kisha ndo uiskan kwa mfumo wa pdf...n
Be blessed. Nashukuru sana
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja.
Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ???
Bila shaka jibu lako ni ndio. Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ??
Ingia kwenye akaunti yako, click My applications...Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari...Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview -HONGERA SANA
Nyongeza plus~updated 08 May 2015
Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.
Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ???
Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave
Ingia kwenye website hii
http://smallpdf.com/word-to-pdf Itabadilisha doc yako iliyo kwenye word to pdf.
Huna haja ya kuscan barua zako za kazi
Ngoja niungezeee hapo kwenyee huu uzi, kila mtu apate maarifa.
Mkuu kama watu wa kada yako hawajaitwa, hupaswi kuhofia. Cha muhimu ni kuomba mungu yakitoka yatoke na jina lako
Inshaallah Mkuu...thanks....
ila naona kama hawana umakini coz juzi nlivyocheki nikakuta status First Interview kwenye kazi zote nlizoapply...leo nacheki naona Application Review in Progress! au ndo kuchinjiwa ocean kwenyewe...
Kipi kinafanyika apo unascan ama una type?
sijakuelewa mkuu swali lako
Barua ya maombi ya kaz unaitype ama unaandika na mkono na kuiscan ?
hawa secretary wanatakiwa kujipanga sana kwa kweli coz hiyo status ilitupa mashaka wengi xana leo wameibadilisha tena imekua reviewing in progress na hii tabia ya kuita watu 1000 kwenye nafasi 5 nitatizo jamani au wadau mnaonaje hili angalao 50 kwa nafasi 5 yani 1/10 ninge waona wakweli kidogo:A S-rap::A S-rap:
Usijali kaka inawezekana kuna donge zuri unaandaliwa sehemu ! Keep praying buddy
Asante Mkuu.....
mimi ni ke.
Kuku wa kienyeji application status yangu ilikuwa imeandikwa first interview lakini leo naona wamebadili na kuandika application review in progress, hiyo inamaana gani mkuu. Naomba msaada wako