Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.

Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview

HONGERA SANA:

Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.

smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.

Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.

Msaaada Wakuu.
hiyo picha ninayotakiwa kuattach naweza kujipiga mwenyewe kwenye simu yangu kama passport then nikaiweka nikatuma au inakuwaje?
 
Jamani msaada wa maelekezo ya kuattach barua kwenye recruitment portal mambo mengine yote nishafanya ila jinsi ya kutuma maombi ndipo inshu ilipo pia passport size na attach sehemu gani?
 
Jamani msaada wa maelekezo ya kuattach barua kwenye recruitment portal mambo mengine yote
nishafanya ila jinsi ya kutuma maombi ndipo inshu ilipo pia passport size na attach sehemu gain

Kwenye OTHER ATTACHNMENT ndiyo weka barua,kuhusu passpot size mkono wako wa kushoto kuna sehem imeandkwa upload picture.
 
Asante sana

Samahani kwahiyo pale kwenye other attachments naweza kuattach birth certificate, tcu certificate, na vingine sio, pia nafasi ninayoomba naiandika wapi ili iwe rahisi kurecognise
 
Msaada wa kujua kama application letter yangu imepokelewa na recruitment portal ya ajira pia mbona sioni sehemu ya ku upload picha
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"] pale chini kwenye website yao kuna Attachments ina maelezo yote ifungue uisome utaelewa tu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Msaada wa kujua kama application letter yangu imepokelewa na recruitment portal ya ajira pia mbona sioni sehemu ya ku upload picha

Click .My application then utaona application status kama imekuwa received ..
 
Kwahyo naenda other attachments (na specify) application letter ndio na upload sio

Attachment ya cover letter inafanyika baada ya kukamilisha kujaza dashboard more than 50%.Ukisha click kwenye "apply" ambayo inategemea na post unayoomba then huko ndo una attach hiyo cover letter.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"] pale chini kwenye website yao kuna Attachments ina maelezo yote ifungue uisome utaelewa tu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Heshima yako mkuu.Hivi ukisha apply digitally(online) kuna haja tyena ya kutuma na barua kupitia posta.? kuna taarifa mtaani zinachanganya sana..
 
Mkuu achana na redio mbao....kwani wao wamekuambiaje
Kweli ni redio mbao mkuu,hakuna hata ya ku explain more maana watu wametumia mfumo huu huu na wameitwa interview.Ila cha kushangaza kuna badhi ya matangazo ya kazi bado yameandikwa ki mfumo wa kutuma posta ngoja ni paste hapa uone mkuu.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT'S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIATRef. Na EA.7/96/01/H/57 9th July, 2015VACANCIES ANNOUNCEMENT

On behalf of Tanzania Forest Services (TFS), The Tax Revenue Appeals Board(TRAB), Tanzania Airport Authority (TAA) Public Service Recruitment Secretariatinvites qualified Tanzanians to fill 513 vacant posts in the above PublicInstitution.

NB: GENERAL CONDITIONSi. All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old,however, should also observe the age limit for each position whereindicated.

ii. Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) havingreliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.

iii. Applicants should apply on the strength of the information given in thisadvertisement.

iv. The title of the position and institution applied for should be written in thesubject of the application letter and marked on the envelope; short ofwhich will make the application invalid.

v. Applicants must attach their detailed relevant certified copies of academiccertificates:-

Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.- Form IV and Form VI National Examination Certificates.- Computer Certificate- Professional certificates from respective boards- One recent passport size picture and birth certificate.

vi. FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOTACCEPTED

vii.Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted.

viii. Presentation of forged academic certificates and other information in theCV will necessitate to legal action

ix. Applicants for senior positions currently employed in the public serviceshould route their application letters through their respective employers.

x. Applicants for entry levels currently employed in the Public Service shouldnot apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC.45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.

xi. Applicants who have/were retired from the Public Service for whateverreason should not apply.

xii.Applicants should indicate three reputable referees with their reliablecontacts.

xiii. Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced leveleducation should be certified by The National Examination Council ofTanzania (NECTA)

xiv.Certificates from foreign Universities should be verified by The TanzaniaCommission for Universities (TCU)

xv.Deadline for application is 24th July 2015xvi.Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate

xvii. Women are highly encouraged to applyxviii. Only short listed candidates will be informed on a date for interview
xix.Application letters should be written in Swahili or English

Mkuu,refer hapo kwenye maandishi mekundu.
 
All application should be sent through Recruitment Portal with the following address.
http://portal.ajira.go.tz/
(This address can be found also in Public Service Recruitment Secretariat Website ‘Recruitment Portal')

hakuna sehemu wamesema utume kwa njia ya barua.
 
Kwa wale waliofanya usaili pale, UTUMISHI wametoa majina ya waliofanikiwa kupata kazi hapo.

Pia naomba niseme kuwa mimi ni mmoja kati ya waliochaguliwa. Ila wamesema barua zimeshatumwa kwa anuani zetu.

Swali langu ni kuwa, kama tangazo likitoka, ni muda gani unahitajika kureport kazini?
 
Kwa wale waliofanya usaili pale IRDP Dodoma, UTUMISHI wametoa majina ya waliofanikiwa kupata kazi hapo.

Pia naomba niseme kuwa mimi ni mmoja kati ya waliochaguliwa. Ila wamesema barua zimeshatumwa kwa anuani zetu.

Swali langu ni kuwa, kama tangazo likitoka, ni muda gani unahitajika kureport kazini?

Ndani ya siku 14 baada ya tangazo kutoka
 
Kazi nzuri umefanya... kuku-wa-kienyeji

Hekima bora huleta maarifa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom