Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.

Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview

HONGERA SANA:

Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.

smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.

Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.

Kaka sijakupata kabisa tafadhali naomba namba yako nitakupigia unieleweshe
 
haiwezekani ku edit profile alaf nikatuma tena application
nimejaribu kuedit imekubali kuweka picha imekubali nikiview my cv sasa picha yaonekana
je siwez tumia the same kuomba tena?

Haitawezekana tena kwasabab utaambiwa iyo vacancy unayo omba already applied... system itakukatalia kuomba nafasi hiyo hiyo moja labda kwa nafasi nyingine lakin c hiyo tena Mdau
 
Nisaidieni link ya iyo portal wakuu

yakazi gani kiongozi na muda ushapita wa kuapply! au unataka kufanya registration tu ila unaweza ingia kwenye tovuti ya utumishi kwenye home page juu upande wa kulia click recruitment portal ufanye yako
 
Niliomba kupitia mfumo huu. Nashukuru Mungu niliitwa IRDP Dodoma kwenye usaili. Sasa nasubiri majibu wiki ijayo.
 
kama sielewi vile! application review in progress
 
Attachments

  • 1436257294254.jpg
    1436257294254.jpg
    75.3 KB · Views: 281
nyingine tulishafanya usaili mkuu,na wa kuitwa wameitwa tayari

Kwahapo sijui tatizo nn ila ninavyofahamu baada ya tarehe kuisha ya application ndio mchakato unaanza hivyo (application review in progress) ngoja wadau waje:

cc: kuku wa kienyeji
 
Wakuu niliapply kazi mbili kwenye hili tangazo la kazi la mwisho la Utumishi la Mwezi June. Tangu nimeapply nikicheki Profile yangu pale kwenye Application inaniambia kuwa Application Review in Progress,but leo nacheki Profile yangu pale juu ya Dashboard inaniambia kuwa '' You Haven't Applied Any Post'' na wakati huo huo nikicheki kwenye My Application inaniambia kuwa ''Application Review in Progress'' sasa hapa kuna tatizo gani?. Msaada tafadhali.
 
Naona imeandika hivyo kutokana kuna posts nyingine wamezitangaza leo na unatakiwa kuomba kwa mfumo huo huo
 
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawa
kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.

Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview

HONGERA SANA:

Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.

smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.

Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.

Hbr ndugu samahani, Naomba maelezo ya kujisajili kupitia online maana jana nilijarib sana kufungua kikaishia kwenye vancancy na email naomba unipe step by step km hutajali, nimtumie dogo mkuu
 
Hbr ndugu samahani, Naomba maelezo ya kujisajili kupitia online maana jana nilijarib sana kufungua kikaishia kwenye vancancy na email naomba unipe step by step km hutajali, nimtumie dogo mkuu

Dah mimi pia aisee
 
Back
Top Bottom