Ajira Utendaji wa Kata

Siachi hela

Senior Member
Jun 17, 2022
136
248
Waziri wa tamisemi juzi alitangaza kuwa wako katika hatua za mwisho kuajiri watendaji wa kata zaidi ya 500.

Naomba Kwa anaefahamu mchakato wa kuwapata hao watumishi ukoje?

Maana sikuwahi kuona nafasi hizi zikitangazwa kama AJIRA zingine.

Nishauri kama kijana ninaetamani, nami sikumoja nilitumikie taifa langu kwa nafasi kama hiyo, je nifanye nini?
 
Sio mpaka uajiriwe ndo ulitumikie taifa! Sema njaa kali unataka pa kuipozea! Fanya biashara hudumia watu ongeza mzunguko wa hela kwa huduma, kuzalisha, n.k utakuwa unalitumikia taifa pia
 
Wanaweka watu wao mzee
 
Sio mpaka uajiriwe ndo ulitumikie taifa! Sema njaa kali unataka pa kuipozea! Fanya biashara hudumia watu ongeza mzunguko wa hela kwa huduma, kuzalisha, n.k utakuwa unalitumikia taifa pia
Ebu acheni kumkatisha tamaa bana jamii forum kila mtu anajikiuta ana ajira nzuri tu msidhani kila anae comment ni fala.
 
Mbona huwa zinatangazwa mkuu. Jaribu kuwa na makundi ya WhatsApp na Telegram yanayotangaza ajira utaziona.

Umejiunga na ajira Portal?
 
Waziri wa tamisemi juzi alitangaza kuwa wako katika hatua za mwisho kuajiri watendaji wa kata zaidi ya 500.

Naomba Kwa anaefahamu mchakato wa kuwapata hao watumishi ukoje?

Maana sikuwahi kuona nafasi hizi zikitangazwa kama AJIRA zingine.

Nishauri kama kijana ninaetamani, nami sikumoja nilitumikie taifa langu kwa nafasi kama hiyo, je nifanye nini?
SUBIRI ZITANGAZWE
 
Back
Top Bottom