Hii barua ndo inatumika kwa wale wasio na kitambulisho Cha NIDA but Wana namba ya NIDA tu ?Barua ya Serikali ya Mtaa nasikia inakubalika
Hii barua ndo inatumika kwa wale wasio na kitambulisho Cha NIDA but Wana namba ya NIDA tu ?Barua ya Serikali ya Mtaa nasikia inakubalika
Ednapo kwenye tangazo wamesema hivyo ni lazima....ila kama kwenye Tangazo haikusemwa hivyo sio lazima so depend na mwajiri anataka nini.....but ni salama zaidi kuweka certified.Jamani swala la vyeti kuhakikiwa mahakamani ni muhimu au lazima..!?