Ajira Portal

Ajira Portal

N muhimu na lazima
Tena msisitize kabisa maana mm mwenyewe ni Muhang wa Hilo.. niliomba kazi mwez wa 1 mwanzoni but nilipuuzia kuthibitisha vyeti kwa advocate/court kilichojiri ni kunila kichwa tu.. hapa navizia zikitoka Ajira hizi wanazosemea kuwa sijui wiki ijayo, ntaenda chap kwa advocate kufanya mambo
 
Yn n kufata wanachotaka ajira portal na sio vinginevyo, kuna wengine wanasema tuweke vyeti original bila kuithibitisha kwa wanasheria wakati ajira portal inataka utoe copy ndipo uthibitishe
 
Skia mkuu, me japo nilisikia kabla Ila kilichokanitia kiburi ni kuwa nilishawahi kuomba kazi utumishi mwaka Jana tena zaidi ya mara moja na nikawa shortlisted Hali ya kuwa niliweka vyeti vyangu OG hvyohvyo vikiwa colored japo zote sikuwahi hudhuria Usaili..
So unaweza kuona namna gani current wamekuwa very strict na Hii issue.
 
Utumishi hawana jambo dogo
Nimeshuhudia watu wakikataliwa kuingia kwenye interview kisa vitu vidogo mfano mtu alikua hana kitambulisho tu...Hapo alikua na vyeti vyote pamoja na affidavit ya kupoteza kitambulisho ila waligoma

Certify vyeti, saini barua kwenye interview nenda na original zote
 
Attachments

  • Screenshot_20220808-125832~2.png
    Screenshot_20220808-125832~2.png
    13.9 KB · Views: 21
Kuna ile pdf ilikuwa na maelezo jinsi ya kujaza ajira portal kama mtu anayo afanye ku share hapa wadau
 
Mara nyingi naambiwa sijaqualify mpaka nimekata tamaaa jamani
Ina maana wewe hata option ya kusend barua huipati wanakwambia hujakidhi vigezo na Sio kwamba unaomba hautwi.. me nimeielewa vibaya jamani..!!!
 
Barua ya Serikali ya Mtaa nasikia inakubalika
Utumishi hawana jambo dogo
Nimeshuhudia watu wakikataliwa kuingia kwenye interview kisa vitu vidogo mfano mtu alikua hana kitambulisho tu...Hapo alikua na vyeti vyote pamoja na affidavit ya kupoteza kitambulisho ila waligoma

Certify vyeti, saini barua kwenye interview nenda na original zote
 
K

Kitambulisho Cha nini unazungumzia ? Maana wengine hatuna kitambulisho Cha NIDA but tuna namba ya NIDA tu na Wala hatuna hata kitambulisho Cha kupigia kura ? Halafu kwani kwenye written interview MTu anapaswa kwenda na nini na nini ?
 
="gorilla 1, post: 43397188, member: 632076"]Mbona umepaniki mkuu,,, kwanza ushakuwa shortlisted..? Kama bado relax mambo yatakuwa poa

Back
Top Bottom