Ajira Portal

Ajira Portal

Ajira portal saivi wapo serious...
1. Hakikisha profile yako umejaza vizuri. Kila kipengele ukijaze yaani profile ifike angalau asilimia 80.
2. Hakikisha vyeti vyako vipo verified na mwanasheria.
3. Pitia page kila siku... mara nyingi wanaowahi kuapply ndo chance kubwa ya kuitwa.
4. Weka CV current
5. Sehemu ya picha hakikisha ina picha yako official... yaani presentable.
6. Barua ya kuombea kazi lazima iwe official. Iwe na anuani yako na ya utumishi bila kisahau kutia sahihi... yaani kama huwezi mambo ya kuprint na kuscan tengeneza e-signature.
Barua zisizo na signature hazipewi kipaumbele.
7. Hakikisha kazi unayoomba unakidhi vigezo
8. Sasahivi wanataka uweke na namba ya NIDA
9. Maombi kwa Mungu wako ni muhimu zaidi.
Hiyo Namba 9 ni baba lao.
 
Kwa wajuzi tu naomba kufahamu tofauti ya Ajira portal na Oteas

Je, kama muombaji wa nafasi ya ualimu anahusika wapi zaidi kwenye Ajira portal or oteas ?

Ova..
Oteas Huko ni kwenye Ajira za walimu blaza hakuna interview huko kk huku utumishi tuachie sis tukaijaze dodoma

Ova
 
Ajira portal saivi wapo serious...
1. Hakikisha profile yako umejaza vizuri. Kila kipengele ukijaze yaani profile ifike angalau asilimia 80.
2. Hakikisha vyeti vyako vipo verified na mwanasheria.
3. Pitia page kila siku... mara nyingi wanaowahi kuapply ndo chance kubwa ya kuitwa.
4. Weka CV current
5. Sehemu ya picha hakikisha ina picha yako official... yaani presentable.
6. Barua ya kuombea kazi lazima iwe official. Iwe na anuani yako na ya utumishi bila kisahau kutia sahihi... yaani kama huwezi mambo ya kuprint na kuscan tengeneza e-signature.
Barua zisizo na signature hazipewi kipaumbele.
7. Hakikisha kazi unayoomba unakidhi vigezo
8. Sasahivi wanataka uweke na namba ya NIDA
9. Maombi kwa Mungu wako ni muhimu zaidi.
Tunaomba ufafanuzi hapo namba 4. Kuna C.V ya nje inahitajika ukiacha ile general iliyo kwenye profile!?.
 
Back
Top Bottom