JOESKY
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 823
- 2,044
Maisha ni kitendawili kigumu ambacho kwa sisi wanadamu kukitegua tunashindwa kabisa kutokana na ugumu wake.
Ama kwa hakika mambo hayajawa mepesi mpaka ugumu ukukumbatie.
Ni mwaka mwingine bado namaliza soli ya kiatu kusaka fursa ya ajira au kibarua nipate kuweka mkono kinywani ila still mambo yananipiga makofi ya uso naona nyota nyota tu.
Sijui ugumu huu nakutana nao mimi tu?
Kama kutafuta ajira nimezunguka shule zote za sekondari na medium naishia kuacha barua tu na kufanya interview nimepita kwenye taasisi na mashirika bado bahati si yangu.
Nakuomba mpenzi wa hili jukwaa nikutanishe na ajira nami nifurahie maisha kama wengine ajira yoyote ya kunipatia kipato nitafurahi sana niweze angalau kunywa chai na mhogo badala ya slace mbili za mkate na maji yenye glucose.
Nipo mbeya PM for details