Ajira: Mwika Milk Company

mwika

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
47
Reaction score
27
Tunatafuta wadada wa kusambaza maziwa ya fresh na mtindi kwa wateja wetu .

Sifa za mwombaji
Awe anajua kusoma na kuandika .
Awe anajua kuhesabu .
Awe mwaminifu.

Maeneo yetu ya kazi ni kariakoo na mawasiliano

Mshahara kwa mwezi ni 150,000/=

Jitihada zako ndo zitaongeza kipato chako

Mawasiliano:

0714574319
0765758624
 
Hao wateja wapo tayari ni kuwapelekea tyu au ndo kubeba maziwa na kuanza kutafuta mwenyewe wateja na mda wa kazi ni sangap adi sa ngapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…