The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,428
- 4,774
Nakutumia CV yangu Whatsapp now Mkuu.Nafasi mpya kama zilivyoelezwa hapo juu, zipo. whatsapp 0625249605.
Nakutumia CV yangu Whatsapp now Mkuu.Nafasi mpya kama zilivyoelezwa hapo juu, zipo. whatsapp 0625249605.
Njoo tukuajiri ufundishe watoto kuswali kama alivyo swali Yesu AS.
Hapa wewe ndio umeanza ubaguzi, ulienda ukabaguliwa? Mshaanza kumbagua hata mama itakuwa mzee wa madrasa! Unanshangaza!Hao jamaa wana ubaguzi sana...! Wanaajiriana wenyewe kwa wenyewe.
Wew bibi mbona umekimbilia vita isiyokuhusu?Hapa wewe ndio umeanza ubaguzi, ulienda ukabaguliwa? Mshaanza kumbagua hata mama itakuwa mzee wa madrasa! Unanshangaza!
Islam DiniMkristo mtampokea?
Kiongozi SalamaHapa wewe ndio umeanza ubaguzi, ulienda ukabaguliwa? Mshaanza kumbagua hata mama itakuwa mzee wa madrasa! Unanshangaza!
HaaWew bibi mbona umekimbilia vita isiyokuhusu?
Siioni vita humu, naiona mipasho tu.
Kabisa KiongoziSiioni vita humu, naiona mipasho tu.
Mkuu kuna binti amesoma Muslim University of Morogoro kozi ya Procurement and Logistics ngazi ya Diploma, nimempa namba yako kesho inshaallah atakutafuta, naomba kwa heshima ya jamiiforums umzingatie kwa sababu ni binti anayejituma sana na mwenye nidhamu ya hali ya juu. Ukimfanyia usaili utagundua hilo. Anaitwa Rahma SaidNjoo tukuajiri ufundishe watoto kuswali kama alivyo swali Yesu AS.
In shaa Allah. Tena kwa kukujuza tu, kipaumbele cha hapa Abraar ni (empowerment) kwa kin mama. Anakaribishwa anytime aje ajionee mazingira yetu ya kazi.Mkuu kuna binti amesoma Muslim University of Morogoro kozi ya Procurement and Logistics ngazi ya Diploma, nimempa namba yako kesho inshaallah atakutafuta, naomba kwa heshima ya jamiiforums umzingatie kwa sababu ni binti anayejituma sana na mwenye nidhamu ya hali ya juu. Ukimfanyia usaili utagundua hilo. Anaitwa Rahma Said
mkuu Sasa kinachokuuma ni nini!? Kaombe kazi kwa shule za kikristoHao jamaa wana ubaguzi sana...! Wanaajiriana wenyewe kwa wenyewe.
Kumetokea uhitaji mwengine wa Walimu wa chekechea.Napenda kuwafahamisha kuwa nafasi ya Mwalimu Mkuu imeshajazwa.
Sasa hivi tunatafuta Walimu wawili wa chekechea, kg 1 to 3 wa kike wenye uzoefu wa kufundisha English Medium na wanaofahamu Arabic itakuwa ni added advantage kwao.