KERO Ajira Mpya Morogoro DC hatujalipwa, tukiuliza wanasema “Nyie si mnakopesheka, kakopeni”

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Watumishi ajira mpya Mwaka 2025 Moro DC hatujalipwa hela za kujikimu mpaka leo (Januari 2026), tukiuliza Mkuu wetu anajibu “kama mna shida sana si mkope, sasa hivi mnakopesheka”

Inavyoonekana wamegawa namba kwa mabenk na SACOS wanapiga simu kama wamechanganyikiwa wakisisitiza watukopeshe, tena anakuuliza wewe hujathibitishwa njoo tukupe mkopo inamaana kuna namna wananufaika tukikopa.

Watu tumetoka miji tofauti kuja kufanya kazi ila ofisi inaweka mazingira magumu, baada ya malalamiko wakadai hela hamna, hivyo watalipa siku tatu tu na ukipokea uandike barua umelipwa na hata hizo siku tatu wengine hawajapata, ukiuliza unajibiwa “hatujui”

Tumebaki dilemma, Je tutalipwa lini? Je tuzitegemee? Au tusahau ila fedha za kujikimu ni haki ya kila mwajiriwa.
 
Poleni
 
poleni vumilia utalipwa huenda bajet iliwekwa kidogo lakin usiache kufuatilia ukijibiwa kunya muone Mkurugenzi..akizingua nenda kwa DSO majibu utayapata siku hyo hyo...Utumishi wa umma unaitaji uvumilivu na subra.
 
Back
Top Bottom