Ajira mpaka kuwa na cheti Cha Covid-19

Ajira mpaka kuwa na cheti Cha Covid-19

Chonjo zote zina madhara,ila yeye amekuwa disabled kabisa baada ya kupata jab ya C-19, mwezi mmoja baada ya jab.

Kwanza alipata stroke ambayo ni dalili moja wapo ya C-19 Vaccine damage.Than Myocarditis ambayo pia ni dalili ya C-19 Vaccine damage.At one point Benjamin Mkapa Hospital Dodoma, madaktari walituambia ana blood clots,ingawa walikuwa wanajiuma uma sana,lakini it was true.Blood clots ni dalili nyingine ya damage by the C-19 jab .Stroke ndiyo iliyommaliza kabisa.Kitu kingine ambacho kinamsumbua sana sasa hivi ni ganzi,ambayo nayo ni dalili nyingine ya damage by C-19 Vaccines!

Mwanzoni madaktari walituambia viungo vyake ni kama vinafeli,it was very frightening seeing my son dying,lakini he picked up and miraculously he is still alive.

Nilimuonya asichanje kwa kuwa najua ubaya wa C-19 so called Vaccines,na nilikuwa nimeridhika aache kazi bora tu abaki salama.Akaniambia baba usisikilize habari za mitandaoni,C-19 vaccines ni safe.Sikuwa na jinsi ila kumuacha.There he is now,disabled na kazi aliyokuwa anaitetea haipo tena,he has lost everything,his good job and life.Inauma sana.

Nimeamini kweli, asiyesikia la mkuu huvunjika guu.He now regrets,and tells me laiti ningekusikiliza baba.Namuambia it it too late mwanangu,pambana na hali yako,siwezi kukusaidia.

Message kwa wale ambao hawajachanja,please do not do it,it is simply too dangerous.Damage or death can take time to happen,even 3years plus,but it will certainly happen.
Umeongea kwa hisia kweli mpaka najihisi viaya, pole sana
 
Wakuu naombeni muongozo namna ya kukidownload hicho cheti cha covid19 kwenye covax portal maan changu nimeshindwa kuki download
 
Wewe either you are suffering from "Mass Formation Psychosis or you are a moron of the NWO or both,kwa hiyo huwezi kunielewa.Tuachane tu mkuu,sitaki kupoteza muda wangu bure.

Hivi kweli vitu Kama hivi haviwafumbui macho hata kidogo?

Nilifikiri una akili kumbe huna hata moja....

Let me tell you this, wakiamua kukufanya zombie watakufanya tu na hutofanya lolote....

Hao watoto wako mpaka sasa wamepata chanjo ngapi? Wewe mpaka ulipo na uzee wako wa hovyo ushapata chanjo ngapi?

Hakuna dawa yeyote isiyo na side effects,

What about Measles, Polio , Hepatitis B, HPV na vipi kuhusiana na madawa unayoyatumia upatapo kisonono?

Kufa au kuto kufa ni suala ambalo si hiari bali ni lazima....

Dunia ya leo siyo ya kusikiliza propaganda, huna evidence ya kuprove, huna elimu ya kuprove hilo, huwezi kutengeneza hata Paracetamol ya 500mg ila una kazi ya kuja kututangazia NWO .... Nonsense

Next time ukija ushibe na ujitahidi ubongo uwe na uwezo wa kujihoji
 
Wameshakuharibu wewe,ku-discuss na wewe ni kupoteza muda,kwaheri.See👇 what theyhave done to you.See also what a former CIA Director is saying.This should tell you that something is seriously wrong if you are in your right mind.
 
Attachments

  • COMM 12 BRIEFING001 (1) (1) (1).pdf
    COMM 12 BRIEFING001 (1) (1) (1).pdf
    5 MB · Views: 11
  • IMG-20220701-WA0002.jpg
    IMG-20220701-WA0002.jpg
    20.4 KB · Views: 17
Wameshakuharibu wewe,ku-discuss na wewe ni kupoteza muda,kwaheri.See[emoji116] what theyhave done to you.See also what a former CIA Director is saying.This should tell you that something is seriously wrong if you are in your right mind.
Punguza ubishi
 
Punguza ubishi
Mimi si mbishi ila najua ninayosema ndio ukweli.Niki-compromise nitakuwa naruhusu uongo ushinde,and I am not ready to do that.Cheki attachments zifuatazo utaona kwamba watu including you perceptions zao zimeharibiwa kabisa,kwa hiyo they are too far away removed from reality.
 
Attachments

Nilifikiri una akili kumbe huna hata moja....

Let me tell you this, wakiamua kukufanya zombie watakufanya tu na hutofanya lolote....

Hao watoto wako mpaka sasa wamepata chanjo ngapi? Wewe mpaka ulipo na uzee wako wa hovyo ushapata chanjo ngapi?

Hakuna dawa yeyote isiyo na side effects,

What about Measles, Polio , Hepatitis B, HPV na vipi kuhusiana na madawa unayoyatumia upatapo kisonono?

Kufa au kuto kufa ni suala ambalo si hiari bali ni lazima....

Dunia ya leo siyo ya kusikiliza propaganda, huna evidence ya kuprove, huna elimu ya kuprove hilo, huwezi kutengeneza hata Paracetamol ya 500mg ila una kazi ya kuja kututangazia NWO .... Nonsense

Next time ukija ushibe na ujitahidi ubongo uwe na uwezo wa kujihoji
Toka zako mjinga wewe na machanjo yako uchwara.
 
Sijaongelea habari za kuwa misled or not being misled, ..I have just asked abt the age specifically as am working on something concerning the rare effects of those vaccines in different age groups...sasa instead ya kujibu swali lililoulizwa boss unaongea mengine.Anyway poleni kwa yote.Kazi njema.
Dangerous effects za Covid sio rare mkuu,umeingizwa choo cha kike.Read this👇

Back
Top Bottom