mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,191
Mm kilicho baki ni nicheze kama pele nikipate bila kuchoma huo upuuzi wao
Inahitaji mtu mlio elewana sana ila kuna kipindi machali wa UVCCM ya magu waliniambiaga niwape laki 6 wanipe vya famili bila ku choma sema sikuona ulazima maana sikuwa na mpango wa kutoka nje ya nchiKWANI JAMANI HII KUFOJI HAIWEZEKANI JAMANI NIKIENDA KITUONI NIKATOA KITU KIDOGO WAKANIPA CHETI?
Hi wakuu, hivi ni kweli kwamba ukitaka kuajiriwa kwenye mashirika na makampuni ya kimataifa, lazima utatakiwa kuonyesha cheti Cha Covid-19?
Kama ni kweli, unaweza kukosa kazi kwenye hizo UN agencies, na mashirika na kampuni za kimataifa kisa huna cheti Cha chanjo ya Covid-19.
Karibu
Hizo ni illusion tu..depopulation ni conspiracy theory.Mkuu Ni kweli,Kama unataka ajira kwenye shirika la kimataifa ni lazima uwe umechanja.Hii ni kwa sababu mashirika ya kimataifa yote ni institutions za NWO,na C-19 ni ajenda ya NWO for depopulation.It is as simple as that.
Kwani veti wanatoa Tena vijana wa uvccm wanataka wakupige SI wanatoa kwenye vituo vilivyoruhusiwa vya chanjo hospitali baadhi Sasa nesi Nampa elfu 30 tu ananipaInahitaji mtu mlio elewana sana ila kuna kipindi machali wa UVCCM ya magu waliniambiaga niwape laki 6 wanipe vya famili bila ku choma sema sikuona ulazima maana sikuwa na mpango wa kutoka nje ya nchi
Sawa.Hizo ni illusion tu..depopulation ni conspiracy theory.
#MaendeleoHayanaChama
Noma sanaUN ni lazima Kaz mojawapo ya UN ni kutatua changamotomo mbalimbali zinazoikumba Dunia na unajua kabisa COVID-19 ni janga la Dunia nzima kwanin wakuajili wakati ujachanja Yan UN wao tena wawe chanzo Cha kueneza COVID-19 apo lazima tu uchanje
Mashirika Kama IRC, Save the children, EAC, na other international agencies Ni lazima kwa hapa bongo au Ni kwa watu ambao kazi zao zinawafanya wasafiriHulazimishwi ila ni moja ya kigezo mtumishi upate chanjo husika kama huna tatizo la Kiafya (proven) la kufanya usipate chanjo.Kwa faida yako na kuwalinda wengine.
Simply Mashirika ya Kimataifa ni sehemu ya kuwa na reasoning tu, kama unaona hatari chanjo utahamasishaje mwingine achanje?
VIP kampuni za kimataifa ambazo zipo hapa Bongo?M
Mashirika mengi ya kimataifa wanataka proof of Covid 19 vaccination so ni muhimu uwe na hiyo proof unapoenda kwenye interview au unapopeleka maombi yako
Duu unaniogopesha na nlkuwa na plan ya kuchanjaUsidanganye watu wewe, watu wengi wanapata injuries na kufa,kama umeingizwa mkenge wewe.Mimi nina mtoti ambaye yupo permanently disabled baada ya kupata chanjo.Najua watu wengine ambao wamekufa na wengine disabled baada ya kupata the C-19.The jab is simply too dangerous.
Halafu mind you response zina tofautiana,but injuries or death can happen at any time between 0 to 3 or 4 years plus.Kwa hiyo kama hujapata injury au hujafa,do not console yourself,danger IPO bado.
Mkuu mpk upate wa kukuamini alafu mazingiza ya town kucheza huo mchezo ni ngumu kumpata wa kukusaidiaKwani veti wanatoa Tena vijana wa uvccm wanataka wakupige SI wanatoa kwenye vituo vilivyoruhusiwa vya chanjo hospitali baadhi Sasa nesi Nampa elfu 30 tu ananipa
Alichoma chanjo gani mbona watu wengi wamechanja na wako okyChonjo zote zina madhara,ila yeye amekuwa disabled kabisa baada ya kupata jab ya C-19, mwezi mmoja baada ya jab.
Kwanza alipata stroke ambayo ni dalili moja wapo ya C-19 Vaccine.Than Myocarditis ambayo pia ni dalili ya C-19 Vaccine damage.At one time madaktari walituambia ana blood clots,ingawa walikuwa wanajiuma una sana,lakini it was true.Blood clots ni dalili nyingine ya damage by the C-19 jab .Stroke ndiyo iliyommaliza kabisa.Kitu kingine ambacho kinamsumbua sana sasa hivi ni ganzi,ambayo nayo ni dalili nyingine ya damage by C-19 Vaccines!
Mwanzoni madaktari walituambia viungo vyake ni kama vinafeli,it was very frightening seeing my son dying,lakini he picked up and miraculously he is still alive.
Nilimuonya asichanje kwa kuwa najua ubaya wa C-19 so called Vaccines,na nilikuwa nimerithika aache kazi bora tu abaki salama.Akaniambia Baba usisikilize habari za mitandaoni C-19 ni safe.Sikuwa na jinsi Ila kumuacha.There he is now,disabled na kazi aliyokuwa anaitetea haipo tena.Inauma sana.
Nimeamini kweli, asiyesikia la mkuu huvunjika guu.He now regrets,and tells me laiti ningekusikiliza Baba.Namuambia it it too late mwanangu,pambana na hali yako,siwezi kukusaidia.
Message kwa wale ambao hawajachanja,please do not do it,it is simply too dangerous.Damage or death can take time to happen,even 3years plus,but it will happen.
Umejuaje imesababishwa na vaccineHio ganzi mzee wangu ndio inamzingua sana na misuli kukakamaa
Hakuwa na tatizo hilo beforeUmejuaje imesababishwa na vaccine
Mbona wapo watu wengi walikuwa wanaumwa hayo matatizo kabla ya Covid-19Hakuwa na tatizo hilo before
Yeye alichanja ya Pfizer.Alichoma chanjo gani mbona watu wengi wamechanja na wako oky
Sijui kwa nini you are so blind.Mazingira tu ya administration ya Covid vaccines yanaonyesha kwamba chanjo za C-19 si salama and that there is something unusual.Ni kwamba chanjo zote za C-19 si salama,kwa kuwa basic ingredients zina fanana!!!!Chanjo ipi ndio huleta hayo madhara?.. maana zipo nyingi
Eleza ulikipataje na sisi tuchangamkie fursaHamna haja ya kuchanja utajitaftia matatizo bure vyeti vinapatikana tu mkuu. Mm mwez uliopita nimecheza makaratee nimepata chet cha jansen if you wish ntakuelekeza
Wewe mkuu acha kumchoma aliekusaidia maana usalama watakuwa wanataka jua Nani anaiibia serekali huzi ishu ukifanikiwa vungaHamna haja ya kuchanja utajitaftia matatizo bure vyeti vinapatikana tu mkuu. Mm mwez uliopita nimecheza makaratee nimepata chet cha jansen if you wish ntakuelekeza