Ajira mpaka kuwa na cheti Cha Covid-19

Ajira mpaka kuwa na cheti Cha Covid-19

Covid is a mixture of some truth and hoax,na mwenye akili timamu anaona wazi kwamba kuna hila nyingi na uongo mwingi ndani ya "illusion" hii.The Covid narrative is simply too bizarre and based on too much poor science to be believed.
Hamna kitu
 
Hi wakuu, hivi ni kweli kwamba ukitaka kuajiriwa kwenye mashirika na makampuni ya kimataifa, lazima utatakiwa kuonyesha cheti Cha Covid-19?

Kama ni kweli, unaweza kukosa kazi kwenye hizo UN agencies, na mashirika na kampuni za kimataifa kisa huna cheti Cha chanjo ya Covid-19.

Karibu
Unadhani mashirika ya Kimataifa yanafuata ujinga mliolishwa na Jiwe? Huna Kaa pembeni
 
Mkuu Ni kweli,Kama unataka ajira kwenye shirika la kimataifa ni lazima uwe umechanja.Hii ni kwa sababu mashirika ya kimataifa yote ni institutions za NWO,na C-19 ni ajenda ya NWO for depopulation.It is as simple as that.
Yaani chanjo ya COVID-19 iwe ni ya kudepopulate ila chanjo nyingine kama za measles, polio, hepatitis, tetanus etc etc zenyewe ni nzuri? Mbona hatukatai watoto wetu kudungwa hizo?

Mzungu akiamua kudepopulate ana options nyingi tu maana hata panadol hatuwezi kuproduce
 
Staff wote wa UN Agencies sasa wanashauriwa kuwa wamechanjwa japo ile mandatory requirement haijaanza kutumika. Kwa applicants wapya nadhani hii itakuwa mandatory requirement

No one is safe until everyone is safe😊
 
Huyo jamaa mponda chanjo usiwadanganye watu bwana.. Mimi ni mmoja wapi niliyechoma chanjo ya Johnson's mwaka Juzi hadi leo nipo salama na Nina Nguvu zote tena nanenepeana Tu na Life ya Mjini.

Huyo mwanao aliyechoma chanjo alikuwa mgonjwa bila kujijua (HIV) Maana chanjo Una Nguvu ikikuta seli hai zipo hoi bac demage lazima iwepo ndo maana unaambiwa usichome kama wajujua sio mzima kiafya

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa mponda chanjo usiwadanganye watu bwana.. Mimi ni mmoja wapi niliyechoma chanjo ya Johnson's mwaka Juzi hadi leo nipo salama na Nina Nguvu zote tena nanenepeana Tu na Life ya Mjini.

Huyo mwanao aliyechoma chanjo alikuwa mgonjwa bila kujijua (HIV) Maana chanjo Una Nguvu ikikuta seli hai zipo hoi bac demage lazima iwepo ndo maana unaambiwa usichome kama wajujua sio mzima kiafya

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Sio kwamba wale wenye matatizo ya kiafya kama blood pressure, Diabetes,heart diseases, HIV ndo wanapaswa kuchanja
 
Yaani chanjo ya COVID-19 iwe ni ya kudepopulate ila chanjo nyingine kama za measles, polio, hepatitis, tetanus etc etc zenyewe ni nzuri? Mbona hatukatai watoto wetu kudungwa hizo?

Mzungu akiamua kudepopulate ana options nyingi tu maana hata panadol hatuwezi kuproduce
This is where the problem is,you people do not understand anything,you are so uninformed,mind controlled,distorted and so much removed from reality that literally no body can help in realizing even the danger ahead of you,very sad indeed.Ni kwamba chanjo zote ni mbaya,na hii ya Covid,imepewa tu jina la chanjo,lakini sio chanjo,but a Bioweapon.Mkuu you are suffering from a very serious psychology disease called "Mass Formation Psychosis," kwa hiyo tuachane huna uwezo wa kunielewa,NWO wameshakuharibu!

Kama wewe upo in your right mind ukisoma hii👇utajua who you are dealing with!Friend you are dealing with sadists,eugenists,
hipocrites and psycopaths,don't take anything from them for granted.

"Can’t Make This Up: Pfizer Asks Court to Dismiss Whistleblower Lawsuit Because the US Government Was Aware of Vaccine Fraud!Doesn't this raises eye brows??​

In its latest attempt to bury the evidence of criminal malpractice related to the development of its experimental mRNA Covid vaccine, Pfizer has reportedly filed a motion to dismiss a whistleblower lawsuit alleging the vaccine maker and two of its contractors manipulated data and committed other acts of fraud during clinical trials.
The case has been placed on hold pending judicial review.

Instead of claiming innocence or that the charges were fabricated, lawyers for the pharmaceutical giant argued that the lawsuit, which was filed under the False Claims Act, should be dropped entirely because the US Government was fully aware of the fraud being committed during the development of the Pfizer’s mRNA jab, according to whistleblower Brook Jackson’s lawyer, who spoke with Children’s Health Defense about the case.

“Pfizer claims they can get away with fraud as long as the government would write them a check despite knowing about the fraud,” attorney Robert Barnes said, before adding that “Pfizer, one of the most criminally fined drug companies in the world, wants to weaken the laws that hold them accountable.”

Kama NWO hawajakuteka kabisa kisaikolojia,soma taarifa zifuatazo labda utazinduka,very sad indeed
.
 

Attachments

  • COMM 12 BRIEFING001 (1) (1) (1).pdf
    COMM 12 BRIEFING001 (1) (1) (1).pdf
    5 MB · Views: 11
  • IMG-20220701-WA0002.jpg
    IMG-20220701-WA0002.jpg
    20.4 KB · Views: 9
Staff wote wa UN Agencies sasa wanashauriwa kuwa wamechanjwa japo ile mandatory requirement haijaanza kutumika. Kwa applicants wapya nadhani hii itakuwa mandatory requirement

No one is safe until everyone is safe😊

Naomba usome hii kwa kusaidia labda utazibuka akili.It is a mountain of literature about Covid,but is worth reading it.


Humanity including you are suffering from "Mass Formation Psychosis." This is a psychological problem where an individual is so much removed from reality(and mind you it is by design!) that he or she cannot see the danger confronting him/her,so he is unable to take any decisions to avoid the danger.Na the sad thing is,hata akiona mwenzie kaathirika, he/she shrugs it off kama kitu kisocho mhusu and believes it cannot happen to him!

This is an extremely sad situation,but it's where humanity is today.

Soma hii pia👇,kama there is any logic and rationality still left in you,labda utaona uzito wa tatizo.
 

Attachments

This is where the problem is,you people do not understand anything
You are missing the point

Mzungu hahitaji kuwadepopulate nyie wamatumbi kwa kutumia chanjo ya COVID-19. Wakitaka kufanya hivyo wana options chungu nzima. Endeleeni kukariri na kuwaamini akina Gwajima

Usikute hapo ulipo ushachanjwa michanjo kibao kuanzia Surua, Pepopunda, Polio and the like
 
You are missing the point

Mzungu hahitaji kuwadepopulate nyie wamatumbi kwa kutumia chanjo ya COVID-19. Wakitaka kufanya hivyo wana options chungu nzima. Endeleeni kukariri na kuwaamini akina Gwajima

Usikute hapo ulipo ushachanjwa michanjo kibao kuanzia Surua, Pepopunda, Polio and the like
Wewe either you are suffering from "Mass Formation Psychosis or you are a moron of the NWO or both,kwa hiyo huwezi kunielewa.Tuachane tu mkuu,sitaki kupoteza muda wangu bure.

Hivi kweli vitu Kama hivi haviwafumbui macho hata kidogo?


 
Usidanganye watu wewe, watu wengi wanapata injuries na kufa,kama umeingizwa mkenge wewe.Mimi nina mtoto ambaye yupo permanently disabled baada ya kupata chanjo.Najua watu wengine ambao wamekufa na wengine disabled baada ya kupata the C-19 vaccine.The jab is simply too dangerous.

Halafu mind you response zina tofautiana,but injuries or death can happen at any time between 0 to 3 or 4 years plus.Kwa hiyo kama hujapata injury au hujafa,do not console yourself,danger IPO bado.
injuries si inamaana ya majeraha.
Chanjo inasababisha vipi jeraha?
 
injuries si inamaana ya majeraha.
Chanjo inasababisha vipi jeraha?
Watu msiojua Kingereza mna shida sana.Injury ni uharibifu wowote to any part of your body,which causes the body to malfunction.In that case it can be inside your body or on your body,kama ulivyosema jeraha.

In fact injury can also be done to your feelings!
 
Back
Top Bottom