Chanjo ipi ndio huleta hayo madhara?.. maana zipo nyingi
Chonjo zote zina madhara,ila yeye amekuwa disabled kabisa baada ya kupata jab ya C-19, mwezi mmoja baada ya jab.
Kwanza alipata stroke ambayo ni dalili moja wapo ya C-19 Vaccine damage.Than Myocarditis ambayo pia ni dalili ya C-19 Vaccine damage.At one point Benjamin Mkapa Hospital Dodoma, madaktari walituambia ana blood clots,ingawa walikuwa wanajiuma uma sana,lakini it was true.Blood clots ni dalili nyingine ya damage by the C-19 jab .Stroke ndiyo iliyommaliza kabisa.Kitu kingine ambacho kinamsumbua sana sasa hivi ni ganzi,ambayo nayo ni dalili nyingine ya damage by C-19 Vaccines!
Mwanzoni madaktari walituambia viungo vyake ni kama vinafeli,it was very frightening seeing my son dying,lakini he picked up and miraculously he is still alive.
Nilimuonya asichanje kwa kuwa najua ubaya wa C-19 so called Vaccines,na nilikuwa nimeridhika aache kazi bora tu abaki salama.Akaniambia baba usisikilize habari za mitandaoni,C-19 vaccines ni safe.Sikuwa na jinsi ila kumuacha.There he is now,disabled na kazi aliyokuwa anaitetea haipo tena,he has lost everything,his good job and life.Inauma sana.
Nimeamini kweli, asiyesikia la mkuu huvunjika guu.He now regrets,and tells me laiti ningekusikiliza baba.Namuambia it it too late mwanangu,pambana na hali yako,siwezi kukusaidia.
Message kwa wale ambao hawajachanja,please do not do it,it is simply too dangerous.Damage or death can take time to happen,even 3years plus,but it will certainly happen.