Arash charlz
Member
- Apr 23, 2014
- 50
- 1
Mimi ninataka kwenda kusoma kilimo kwa ngazi ya cheti sasa kuna kuajiriwa serikalini baada ya kumaliza masomo na kufaulu?
Naomba msaada wa jibu lako....,
Naomba msaada wa jibu lako....,
We kasome tu but jiandae kwa lolote..
Ajira bongo tz bado ni kitendawili