Ajira kwa wanaosoma kilimo{certificate in general agriculture}

Arash charlz

Member
Apr 23, 2014
50
1
Mimi ninataka kwenda kusoma kilimo kwa ngazi ya cheti sasa kuna kuajiriwa serikalini baada ya kumaliza masomo na kufaulu?
Naomba msaada wa jibu lako....,
 
We kasome tu but jiandae kwa lolote..
Ajira bongo tz bado ni kitendawili
 
Back
Top Bottom