Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

Uongo mtupu
Kauli za kukanusha ukweli haziwasaidii zaidi ya kuzidisha hasira za watu. Kuna walimu wameajiriwa mwezi mei kwa mtindo huohuo wa kadi za CCM na tunawafahamu hadi majina. Mmefanya hivyo mkidhani ndo Chama kitapendwa matokeo yake hata mliowaajiri baadhi wamewageuka.
 
Huu uwongo utakusaidia nini kumtungia sheha?
Mm mwenyewe nilifanya intaview ya civil engineering office ya manispaa huku kwetu Zanzibar tunaita baraza La mji walihitaji MTU aliyena digree ya civil engineering ili wapate mtu wa kuwarekebishia mipango miji pamoja na siter plan tulienda kufanya inteview ile ktk shule ya Fidel Castro iliyopo vitongoji Chake Chake tulikuwa watu watatu mm na wenzangu wawili wote tulikua wanaume.

Kwa bahati mzuri ile nafasi nikabahatika kupita jina langu na jina lango likaenda ktk office flani nyeti na jina lile wakaagizwa vijana watatu ktk office ile wanifuatilie nyendo zangu ndio wakafika mpaka kwa sheha kwajina huko bongo munamwita mwenyekiti wa mtaa basi walupo fika walisalimiana vizuri na wakamuliza yule sheha jee hili jina hili unalijua naakapewa na picha ya passport size sheha akajibu nalijua na akauliza ananini akaambiwa huyu ameomba ajira na amefanikiwa lkn tumekuja kwako utupe sifa zake sheha akawambia wale vijana huyu MTU hafai kumpa kazi na wala hafai kufanya kazi ktk serekali hii mmoja wa wale vijana akauliza kwanini sheha akajibu huyu kijana wazazi wake ni wa vyama pinzani na yy mwenyewe ni mpinzani kwahiyo bora hata mutafute MTU kutoka sehemu yoyote lkn huyu hafai

Basi jamaa wakaenda zao na wakapeleka maelezo Yale Yale waliyopewa .sasa kuna msemo ambao wahenga husema kwenye wabaya na mwema hakosi siku hiyo nimo ktk uwanja wa gombani uliopo chake chake Pemba ilikua nikiangalia mechi kati ya timu ya jamhuri na jangombe boys kuna yule kijana aliyetoka ktk office nyeti akaja kuniambia umemkosea nini sheha wako nikamwambia mm sija mkosea akanimbia mbona anakuchukia na anazizuia rizki zako nikamwambia mm sina ugomvi mbona akaniambia basi kama ww huna ugomvinae lkn jina lako ilikua lishapita lk. Sheha wako kalizuia kasema ww hufai kupewa kazi ile kwa sababu wazaziwako ni chama cha upinzani

naombeni muniamini kwa haya maneno niliondika mm sikusingizia wala sikuandika kwa chuki Bali huo ndio ukweli na mpaka barua nilizoomba ninazo nilizotoa kopy
 
Abdalla mpemba,

Njia pekee kwa sasa kwa wenye akili ni kuhamasisha watoto na wajukuu kukimbilia nje, hasa kwa wazungu. Miaka hiyo angalau watapatikana watakaochanganya damu hii na nyingine. Damu ya mtanzania kwa mtanzania haitaweza kuishi katika dunia ya miaka michache ijayo.

At least umekuwa part of the solution to the problems being caused by politically affiliated and lowest mindsets.
 
Chuoni kwenyewe kama mtu hana mkopo akiwa CCM anafanyiwa mpango apate mkopo. Najua baadhi mnalijua hili.
Hivi karibuni umekuwepo utaratibu wa kuajiri vijana wanaotokana na chama, ajira hizo zilianzia kitengo na hivi karibuni wameajiriwa watendaji wa kata zaidi ya 300 na ajira zao zilitangazwa ndani ya chama tu, na vijana hao wameanza kazi mwezi wa 8.

Ajira za namna hii zitaligharimu taifa, mchakato wa ajira unapaswa kuwa wazi kwa kila mtu na sio kuangalia makada na wakereketwa wa chama, tukumbuke kuwa watendaji hawa wanakuja kuhudumia watu wasio na vyama na wenye vyama, tuache kuingiza iguana kwenye utumishi wa umma.
 
Dah pole sana ndugu yangu. Kama hali ndio ipo hivi basi tuna safari ndefu.
Mm mwenyewe nilifanya intaview ya civil engineering office ya manispaa huku kwetu Zanzibar tunaita baraza La mji walihitaji MTU aliyena digree ya civil engineering ili wapate mtu wa kuwarekebishia mipango miji pamoja na siter plan tulienda kufanya inteview ile ktk shule ya Fidel Castro iliyopo vitongoji Chake Chake tulikuwa watu watatu mm na wenzangu wawili wote tulikua wanaume.

Kwa bahati mzuri ile nafasi nikabahatika kupita jina langu na jina lango likaenda ktk office flani nyeti na jina lile wakaagizwa vijana watatu ktk office ile wanifuatilie nyendo zangu ndio wakafika mpaka kwa sheha kwajina huko bongo munamwita mwenyekiti wa mtaa basi walupo fika walisalimiana vizuri na wakamuliza yule sheha jee hili jina hili unalijua naakapewa na picha ya passport size sheha akajibu nalijua na akauliza ananini akaambiwa huyu ameomba ajira na amefanikiwa lkn tumekuja kwako utupe sifa zake sheha akawambia wale vijana huyu MTU hafai kumpa kazi na wala hafai kufanya kazi ktk serekali hii mmoja wa wale vijana akauliza kwanini sheha akajibu huyu kijana wazazi wake ni wa vyama pinzani na yy mwenyewe ni mpinzani kwahiyo bora hata mutafute MTU kutoka sehemu yoyote lkn huyu hafai

Basi jamaa wakaenda zao na wakapeleka maelezo Yale Yale waliyopewa .sasa kuna msemo ambao wahenga husema kwenye wabaya na mwema hakosi siku hiyo nimo ktk uwanja wa gombani uliopo chake chake Pemba ilikua nikiangalia mechi kati ya timu ya jamhuri na jangombe boys kuna yule kijana aliyetoka ktk office nyeti akaja kuniambia umemkosea nini sheha wako nikamwambia mm sija mkosea akanimbia mbona anakuchukia na anazizuia rizki zako nikamwambia mm sina ugomvi mbona akaniambia basi kama ww huna ugomvinae lkn jina lako ilikua lishapita lk. Sheha wako kalizuia kasema ww hufai kupewa kazi ile kwa sababu wazaziwako ni chama cha upinzani

naombeni muniamini kwa haya maneno niliondika mm sikusingizia wala sikuandika kwa chuki Bali huo ndio ukweli na mpaka barua nilizoomba ninazo nilizotoa kopy
 
Hivi magufuri unatupeleka wapi? watoto wetu wakose ajira kwa sababu ya kutokuwa na kadi ya ccm!
Huu ni zaidi ya ujambazi.
 
Unaajiri watu wakiwa ofisiani kila kitu kupinga tu ,ofisi zinajaa migogoro na masiasa yasiyoisha

Mara kila siri za ofisi unazikuta mitandaoni kila siku.mtakaa sana nyumbani hadi muitwe baba wa nyumbani

Nashauri usaili uangalie background za kisiasa watu wawe eliminated mapema .

State agent
Pole sana... Hujui naweza kuwa na kadi ya chama wakati si mwanachama wa ccm !! Sijui Ccm mnakwam wapi
 
Unaajiri watu wakiwa ofisiani kila kitu kupinga tu ,ofisi zinajaa migogoro na masiasa yasiyoisha

Mara kila siri za ofisi unazikuta mitandaoni kila siku.mtakaa sana nyumbani hadi muitwe baba wa nyumbani

Nashauri usaili uangalie background za kisiasa watu wawe eliminated mapema .

State agent
Angalia unachocomment Mkuu. Ungewaambia ukweli kwamba hakuna hicho kitu kwenye ajira. Nani anajua kwamba mtu fulani ni chama fulani Hadi atumie kwenye ajira?
 
Unaajiri watu wakiwa ofisiani kila kitu kupinga tu ,ofisi zinajaa migogoro na masiasa yasiyoisha

Mara kila siri za ofisi unazikuta mitandaoni kila siku.mtakaa sana nyumbani hadi muitwe baba wa nyumbani

Nashauri usaili uangalie background za kisiasa watu wawe eliminated mapema .

State agent

Uzuri kwenye ajira binafsi wanahitaji watu wenye akili na sio watu wa kubebwa, acha huko serekalini kujae vilaza watu wa mbeleko na ndio mzee, siku wakitolewa wakose pa kwenda. Mtu akitoka sekta binafsi anaweza kufanya kazi serikalini, lakini wa serekalini kwenye sekta binafsi anageuka kituko.
 
Lakini vijana wa ccm tunaishi nao wengine ni ndungu zetu marafiki zetu na majirani kwaiyo kusema wao wanaweza kuajiriwa peke yao ni uongo

Unakataa au unashangaa, haya iliyosomwa kwenye uchaguzi ndio hayo hayo yako kwenye ajira. Haya hayafanyiki kwa bahati mbaya bali ni mkakati wa kulazimisha watu wote kuwa wanaccm, ili nchi nzima igeuke watu wa ndio mzee.
 
Hivi karibuni umekuwepo utaratibu wa kuajiri vijana wanaotokana na chama, ajira hizo zilianzia kitengo na hivi karibuni wameajiriwa watendaji wa kata zaidi ya 300 na ajira zao zilitangazwa ndani ya chama tu, na vijana hao wameanza kazi mwezi wa 8.

Ajira za namna hii zitaligharimu taifa, mchakato wa ajira unapaswa kuwa wazi kwa kila mtu na sio kuangalia makada na wakereketwa wa chama, tukumbuke kuwa watendaji hawa wanakuja kuhudumia watu wasio na vyama na wenye vyama, tuache kuingiza iguana kwenye utumishi wa umma.

Huku Zanzibar ajira za serikali hazipatikani mpaka uwe na card ya ccm
 
Mbona hukulalamika wakati huo na ikibidi uende mahakamani, sasa yametokea nado unalialia sisi tukusaidieje, tibu dalili ukiziona sio kusubili ugonjwa.

Hivi karibuni umekuwepo utaratibu wa kuajiri vijana wanaotokana na chama, ajira hizo zilianzia kitengo na hivi karibuni wameajiriwa watendaji wa kata zaidi ya 300 na ajira zao zilitangazwa ndani ya chama tu, na vijana hao wameanza kazi mwezi wa 8.

Ajira za namna hii zitaligharimu taifa, mchakato wa ajira unapaswa kuwa wazi kwa kila mtu na sio kuangalia makada na wakereketwa wa chama, tukumbuke kuwa watendaji hawa wanakuja kuhudumia watu wasio na vyama na wenye vyama, tuache kuingiza iguana kwenye utumishi wa umma.
 
Write your reply...hiyo ni kweli kuna rafiki t aliniambia nipeleke cv yangu kwa kiongozi wa uvccm nikakataa naona ni upuuzi tu katika maisha yangu mambo ya kusifu na kuabudu siyawezi
 
Haya mambo yanaudhi naongeza chuki millioni kwa watawala hawa. Suluhu ni katiba bora.
 
Kama hivi ndivyo basi wenye ajira wachukue kadi pinzani ili wafukuzwe kazi tuone kama wataweza kuwalipa mafao yao.
 
Back
Top Bottom