Hivi karibuni umekuwepo utaratibu wa kuajiri vijana wanaotokana na chama, ajira hizo zilianzia kitengo na hivi karibuni wameajiriwa watendaji wa kata zaidi ya 300 na ajira zao zilitangazwa ndani ya chama tu, na vijana hao wameanza kazi mwezi wa 8.
Ajira za namna hii zitaligharimu taifa, mchakato wa ajira unapaswa kuwa wazi kwa kila mtu na sio kuangalia makada na wakereketwa wa chama, tukumbuke kuwa watendaji hawa wanakuja kuhudumia watu wasio na vyama na wenye vyama, tuache kuingiza iguana kwenye utumishi wa umma.