Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

Kwamba matangazo ya kazi yalibandikwa kwenye mbao za matangazo za ofisi za CCM tu.
Jua kwamba namba ya kadi ya chama inahitajika kwenye application!!!lazima uandike mimi comrade jiwe bashite kadi namba 554000 chama cha mapinduzi!ndio unapata ajira!kama una mdogo wako yupo chuo mwambie atafute kadi ya ccm namba yake itatumika kwenye application!!!
 
Mm mwenyewe nilifanya intaview ya civil engineering office ya manispaa huku kwetu Zanzibar tunaita baraza La mji walihitaji MTU aliyena digree ya civil engineering ili wapate mtu wa kuwarekebishia mipango miji pamoja na siter plan tulienda kufanya inteview ile ktk shule ya Fidel Castro iliyopo vitongoji chake chake tulikuwa watu watatu mm na wenzangu wawili wote tulikua wanaume kwa bahati mzuri ile nafasi nikabahatika kupita jina langu na jina lango likaenda ktk office flani nyeti na jina lile wakaagizwa vijana watatu ktk office ile wanifuatilie nyendo zangu ndio wakafika mpaka kwa sheha kwajina huko bongo munamwita mwenyekiti wa mtaa basi walupo fika walisalimiana vizuri na wakamuliza yule sheha jee hili jina hili unalijua naakapewa na picha ya passport size sheha akajibu nalijua na akauliza ananini akaambiwa huyu ameomba ajira na amefanikiwa lkn tumekuja kwako utupe sifa zake sheha akawambia wale vijana huyu MTU hafai kumpa kazi na wala hafai kufanya kazi ktk serekali hii mmoja wa wale vijana akauliza kwanini sheha akajibu huyu kijana wazaziwake ni wavyama pinzani na yy mwenyewe ni mpinzani kwahiyo bora hata mutafute MTU kutoka sehemu yoyote lkn huyu hafai ..basi jamaa wakaenda zao na wakapeleka maelezo Yale Yale waliyopewa .sasa kuna msemo ambao wahenga husema kwenye wabaya na mwema hakosi siku hiyo nimo ktk uwanja wa gombani uliopo chake chake Pemba ilikua nikiangalia mechi kati ya timu ya jamhuri na jangombe boys kuna yule kijana aliyetoka ktk office nyeti akaja kuniambia umemkosea nini sheha wako nikamwambia mm sija mkosea akanimbia mbona anakuchukia na anazizuia rizki zako nikamwambia mm sina ugomvi mbona akaniambia basi kama ww huna ugomvinae lkn jina lako ilikua lishapita lk. Sheha wako kalizuia kasema ww hufai kupewa kazi ile kwa sababu wazaziwako ni chama cha upinzani .naombeni muniamini kwa haya maneno niliondika mm sikusingizia wala sikuandika kwa chuki Bali huo ndio ukweli na mpaka barua nilizoomba ninazo nilizotoa kopy
Zanzibar!!!
Maadui wa zanzibar ni ccm na watanganyika(wabara),na kuomba fanya kazi ya kujutolea ukaondoe msemo huu huko visiwani kwasababu unakwenda kupanda chuki wa vijana wetu dhidi ya watu wasio na mokosa.Na wenye upendo thabiti kwa wanzanzibar,na kumfanya adui awe na nguvu ambazo hana.nafikiri mfano mnao uchaguzi 2015 pale bara na visiwani tuliongea kauli moja adui alionekana mdogo sana,wanahakikisha hill la bara na visiwani kuongea kauli moja halitokei tena na majemedari hawana uwezo wa kung'amua hili
 
Walitangaziwa vijana wa ccm tu na wakaapply wao wenyewe, ajira hazikupitia sekretariati ya ajira.
Lakini vijana wa ccm tunaishi nao wengine ni ndungu zetu marafiki zetu na majirani kwaiyo kusema wao wanaweza kuajiriwa peke yao ni uongo
 
Then mtu anaomba eti Taifa liwe na umoja na mshikamano...utoke wapi kama kiongozi mkuu anaonyesha mgawanyiko na upendeleo wa kikanda na ki vyama wa wazi wazi kabisa.
 
Mbona sisi wazanzibar hio imeshazoeleka

Kama baba ako au mama ako sio ccm kindaki ndaki na hauna card ya ccm aisee hata usiwaze kabisa kwamba ipo siku utaajiriwa
 
Lakini vijana wa ccm tunaishi nao wengine ni ndungu zetu marafiki zetu na majirani kwaiyo kusema wao wanaweza kuajiriwa peke yao ni uongo
Kwahiyo huamini kuwa wameajiriwa kwa kadi za chama?
 
Mm mwenyewe nilifanya intaview ya civil engineering office ya manispaa huku kwetu Zanzibar tunaita baraza La mji walihitaji MTU aliyena digree ya civil engineering ili wapate mtu wa kuwarekebishia mipango miji pamoja na siter plan tulienda kufanya inteview ile ktk shule ya Fidel Castro iliyopo vitongoji Chake Chake tulikuwa watu watatu mm na wenzangu wawili wote tulikua wanaume.

Kwa bahati mzuri ile nafasi nikabahatika kupita jina langu na jina lango likaenda ktk office flani nyeti na jina lile wakaagizwa vijana watatu ktk office ile wanifuatilie nyendo zangu ndio wakafika mpaka kwa sheha kwajina huko bongo munamwita mwenyekiti wa mtaa basi walupo fika walisalimiana vizuri na wakamuliza yule sheha jee hili jina hili unalijua naakapewa na picha ya passport size sheha akajibu nalijua na akauliza ananini akaambiwa huyu ameomba ajira na amefanikiwa lkn tumekuja kwako utupe sifa zake sheha akawambia wale vijana huyu MTU hafai kumpa kazi na wala hafai kufanya kazi ktk serekali hii mmoja wa wale vijana akauliza kwanini sheha akajibu huyu kijana wazazi wake ni wa vyama pinzani na yy mwenyewe ni mpinzani kwahiyo bora hata mutafute MTU kutoka sehemu yoyote lkn huyu hafai

Basi jamaa wakaenda zao na wakapeleka maelezo Yale Yale waliyopewa .sasa kuna msemo ambao wahenga husema kwenye wabaya na mwema hakosi siku hiyo nimo ktk uwanja wa gombani uliopo chake chake Pemba ilikua nikiangalia mechi kati ya timu ya jamhuri na jangombe boys kuna yule kijana aliyetoka ktk office nyeti akaja kuniambia umemkosea nini sheha wako nikamwambia mm sija mkosea akanimbia mbona anakuchukia na anazizuia rizki zako nikamwambia mm sina ugomvi mbona akaniambia basi kama ww huna ugomvinae lkn jina lako ilikua lishapita lk. Sheha wako kalizuia kasema ww hufai kupewa kazi ile kwa sababu wazaziwako ni chama cha upinzani

naombeni muniamini kwa haya maneno niliondika mm sikusingizia wala sikuandika kwa chuki Bali huo ndio ukweli na mpaka barua nilizoomba ninazo nilizotoa kopy
Huna haja yakueleza sna broo ,mm mwenyewe ni mzanzibar nimesoma zanzibar ila nimeajiriwa tanzania bara

Wala sikutaka nijisumbue bure kuomba ajira znz nilijua kwa wazazi wangu walivyo nitasubir ajira mpaka vyeti vitaoza sitopata


Class mates wangu 5 ambao wazee wao walikua ccm kindaki ndaki wote waliajiriwa sehem nyeti kabisa
 
Ndiyo maana ni halali kutowapa ushirikiano watendaji wa namna hiyo. Do the minimum to keep things going.
wakati ule wa uteuzi mbali mbali Ndani ya serikali kuna watu walilalamika kuwa kuna kaupendeleo kwenye dini Fulani ila wengi hapa mkasema kama huyo MTU alieteuliwa ana sifa basi inatosha hata wote wawe wa upande mmoja,Sasa Leo mnalalamika nini? Hao ccm kama wana sifa basi waacheni waajiriwe,
 
Umewaza vzr kabla hujaandika hapa? hivi unajua huko kwa wazungu pia walikuwapo watawala wapuuzi kama huku kwetu lkn wapo watu waliamua kukomaa nao mpaka wakawashinda sasa huku tunaamini kukikimbia watawala dhalimu ni dawa yakuponya majeraha ya moyo
Abdalla mpemba,

Sheha ni sawa na balozi wa nyimba kumi? Kama ni kweli basi ninaamini miaka mia moja ijayo wajukuu na vitukuu vyetu vitakuwa vinaulizana kwanini nchi yetu ndiyo nchi maskini kuliko nchi zote alizoziumba Mwenyezi Mungu? Na hata wakiambiwa kuna chama cha siasa kiliamua msiendelee na muishi kama maskini na madhalili wa ulimwengu huu hawataamini.

Njia pekee kwa sasa kwa wenye akili ni kuhamasisha watoto na wajukuu kukimbilia nje, hasa kwa wazungu. Miaka hiyo angalau watapatikana watakaochanganya damu hii na nyingine. Damu ya mtanzania kwa mtanzania haitaweza kuishi katika dunia ya miaka michache ijayo.

Utanzania utaweza kufikia kuwa kiashiria cha kushindwa, umaskini, uduni wa fikra, uduni wa elimu, ubabaishaji, wizi, ufisadi, unafiki nk. Binafsi nitafanya karakati za aina zote nipeleke kizazi huko nje kwa rangi nyingine na binadamu wenye utamaduni mwingine. Labda itasaidia.
 
Huku Zanzibar huajiri kama familiya yenu siyo ccm na kama huna kadi ya ccm ndio ajira utaisikia tuu nahata uwe na vyeti umejaza kabati kama huko chama cha ccm sahau kuajiriwa
Hii aliniambia rafiki wangu wa karibu sana huko Pemba bila kadi sahau kabisa kuajiriwa huko
 
Unaajiri watu wakiwa ofisiani kila kitu kupinga tu ,ofisi zinajaa migogoro na masiasa yasiyoisha

Mara kila siri za ofisi unazikuta mitandaoni kila siku.mtakaa sana nyumbani hadi muitwe baba wa nyumbani


Nashauri usaili uangalie background za kisiasa watu wawe eliminated mapema .


State agent
Mkuu kwa sasa mna raha sana ila kuna mwisho wake,hata kama sio kesho
 
Hivi karibuni umekuwepo utaratibu wa kuajiri vijana wanaotokana na chama, ajira hizo zilianzia kitengo na hivi karibuni wameajiriwa watendaji wa kata zaidi ya 300 na ajira zao zilitangazwa ndani ya chama tu, na vijana hao wameanza kazi mwezi wa 8.

Ajira za namna hii zitaligharimu taifa, mchakato wa ajira unapaswa kuwa wazi kwa kila mtu na sio kuangalia makada na wakereketwa wa chama, tukumbuke kuwa watendaji hawa wanakuja kuhudumia watu wasio na vyama na wenye vyama, tuache kuingiza iguana kwenye utumishi wa umma.
Hii ni moja ya sababu nchi yetu inashindwa kuendelea.

Watu wenye uwezo ambao hawana connection fulani wanaachwa.

Wanachukuliwa watu ambao vigezo vyao havihusiani na kazi.

Tynaacha vipaji vinadumaa kwa kukosa kutumiwa.
 
Kweli kabisa hizo ajira zilitoka. basi mmoja akamdokeza mwenzake ambaye hana mrengo wowote........ Si kufika kule kwenye interview kauizwa katibu wa vijana CCM anaitwa nani? no ya kadi yako akabaki kushangaa na ajira akakosa kabisa
 
KUNA KIJANA KAKOSA KUAJIRIWA HUU MWEZI WA TISA JINA LAKE LIMEPITA JAMAA ELIMU YAKE NI DIGREE YA SCIENCE JAMAA NI MWALIMU AMEKOSA KUAJIRIWA KISA HANA KADI YA CHAMA JAMANI UALIMU NA KADIYA CHAMA WAPI NA WAPI
 
Unaajiri watu wakiwa ofisiani kila kitu kupinga tu ,ofisi zinajaa migogoro na masiasa yasiyoisha

Mara kila siri za ofisi unazikuta mitandaoni kila siku.mtakaa sana nyumbani hadi muitwe baba wa nyumbani


Nashauri usaili uangalie background za kisiasa watu wawe eliminated mapema .


State agent
Ushauri mzuri huu..lakini pia twende mpaka kwenye kabila na dini aisee.
Yaani kama mtu ni mkoa ambako kuna mbunge au Ofisi ya chama tofauti na CCM basi abaki nyumbani.
Kwenye dini,kama mkuu niwa dini flani alafu muombaji ni dini tofauti basi abaki nyumbani
 
Back
Top Bottom