Kuna mama anatengeneza sambusa maeneo ya Ubungo. Anatafuta kijana wa kutembeza na kuuza sambusa hizo.
Muuzaji atapata shilingi 100 kwa kila sambusa atayo iuza. Kwahiyo akiuza sambusa 200 kwa siku atakuwa na 20,000/- per day.
Kijana awe mwaminifu, mchapa kazi na kama anaishi maeneo ya Ubungo itakuwa added advantage.
Kama uko tayari au unakijna unayejua anaweza kufanya kazi hii naomba uni PM.
We huna mdogo wako umuunganishe dili hilo
Kuna mama anatengeneza sambusa maeneo ya Ubungo. Anatafuta kijana wa kutembeza na kuuza sambusa hizo.
Muuzaji atapata shilingi 100 kwa kila sambusa atayo iuza. Kwahiyo akiuza sambusa 200 kwa siku atakuwa na 20,000/- per day.
Kijana awe mwaminifu, mchapa kazi na kama anaishi maeneo ya Ubungo itakuwa added advantage.
Kama uko tayari au unakijna unayejua anaweza kufanya kazi hii naomba uni PM.
Unaweza kumpa order ya sambusa za nyama..? Hii ni option nyingine nzuri sana.
Kutembeza ni option one yake, lakini akipata sehemu ya ku supply, itakuwa nzuri zaidi.
Kuna mama anatengeneza sambusa maeneo ya Ubungo. Anatafuta kijana wa kutembeza na kuuza sambusa hizo.
Muuzaji atapata shilingi 100 kwa kila sambusa atayo iuza. Kwahiyo akiuza sambusa 200 kwa siku atakuwa na 20,000/- per day.
Kijana awe mwaminifu, mchapa kazi na kama anaishi maeneo ya Ubungo itakuwa added advantage.
Kama uko tayari au unakijna unayejua anaweza kufanya kazi hii naomba uni PM.
Kilomita 1 unauza sambusa 5,mara sambusa 200 utakuwa umetembea kilomita 40,mara mwezi utakuwa umetembea kilomita 1,200 sawa na kuukanyaga mkoa kwa miguu.
Zikidoda huyo mama anaweza kumruhusu dogo akanywee chai asubuhi au ndo bilabila?
hahaaaaaa
Kiongozi mimi ndo wamwisho kwetu...
hata angekuwa mdogo wangu, as long as hana kazi, ningemshauri achukue hili dili...
20,000/- per day x 30 days = 600,000/- per month.
wapo watu maofisini hawapati hio amount kama take home yao..... refer to ushuhuda wa loan officers (fresh from school) wa Access Bank waliotoa hapa jukwaani.