Kwani nikijiandikisha kisha nikasikilizia mtonyo $50,000 wa kuachia familia baada ya muamala kusoma naenda toilet au kwenye septic tank nachota kindoo kimoja cha ubwalando kisha nachota upao mmoja natumai kipindupindu kitalipuka nadhani muingoza kikosi bwana Lumbwegesatov akisikia hali yangu ataniweka kwenye list ya majeruhi yaani intestinal accident au niaje wakulungwa.