Ajira: Kuipigania Urusi huko Ukraine, Mstari wa mbele $ 7000 na mstari wa nyuma $3500. Nafasi ni kwa raia wa nchi zote duniani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,585
142,884
Kwa wale waliopita jeshini na wanatamani kupata ajira za kijeshi na siyo za Knight Support basi Urusi imetangaza ajira kibao.

Watakaopigana mstari wa mbele malipo ni $7000 na unapewa $50,000 za kuachia familia unapoondoka.

Watakaopigana mstari wa nyuma kama wasaidizi wa wapiganaji malipo ni $3500 na utapewa $50,000 za kuachia familia.

Tangazo ni kwa raia wa nchi zote wenye uhaba wa ajira.

Source: Al jazeera/ BBC

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni bora watu wapate ajira maana kuna maana gani jitu linajitoa muhanga kwaajili ya upuuzi sijui umeandikwa kwenye vitabu gani vya kusadikika na hela hawapati wala nini, jamaa changamkieni fursa, muache kukaa vijiwe vya kahawa na kupiga umbeya , mnadai anaupiga mwingi.
 
Kwa wale waliopita jeshini na wanatamani kupata ajira za kijeshi na siyo za Knight Support basi Urusi imetangaza ajira kibao.

Watakaopigana mstari wa mbele malipo ni $7000 na unapewa $50,000 za kuachia familia unapoondoka.

Watakaopigana mstari wa nyuma kama wasaidizi wa wapiganaji malipo ni $3500 na utapewa $50,000 za kuachia familia.

Tangazo ni kwa raia wa nchi zote wenye uhaba wa ajira.

Source: Al jazeera/ BBC

Maendeleo hayana vyama!
Jo inayo ajira wewe🏃
 
Back
Top Bottom