IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,551
- 2,695
Asante mdau je hawa ni pamoja na hao tiles Good will? hapo juu umesema kingine Una maanisha ni kiwanda Chao kingine pia au ni vip?Oky kingine kipo pale kokoto..
Njia ya kwenda kongoe kabla ujavuka mzinga...
Ufanyaji wao kazi...
Inategemea unaenda wewe pale kama skilled au unskilled labour
Upande wa unskilled labour kazi zake ni too heavy unacheza na vumbi sio poa
Care yao..
Care yao ya kawaida sana
Kama haupo care wewe mwenyewe vumbi linaweza kukuathiri sana kutokana na vifaa vinavyotumika sio friendly na afya yako
Malipo..
Inategemea upo kitengo gani kwa unskilled less than 10000 per day
Hivyo tuu kwa haraka haraka mkuu
Ni kiwanda cha toles cha wachina ila kampuni sijui inaitwaje .Asante mdau je hawa ni pamoja na hao tiles Good will? hapo juu umesema kingine Una maanisha ni kiwanda Chao kingine pia au ni vip?
Ok nashukuruNi kiwanda cha toles cha wachina ila kampuni sijui inaitwaje .
Nimeona nikupe dondonoo kwa kuwa sizani kama kutakuwa na utofauti mkubwa ana hivi ..
Aisee asante Kwa taarifa mdau vipi uliwai fanya kazi hapo?Walikuwa wanalipa elfu tano kwa siku sijui kama wamepandisha viwanda vyenye malipo mazuri kule maeneo yale ni neel salt na kiwanda kimoja cha wazungu kinaitwa knauf ila vingine changamoto watu wanalipwa elfu 3 kwa siku.
Du Hatari Sana ungetaja Tu mkuu kiwanda flani kuwaepusha wadau aiwez leta shidaKuna dogo mmoja jirani yangu mwaka jana 2022. Aliitwa na jamaa yake kama hivo kiwanda mkuranga kipi naomba niweke kapuni.
Dogo akaenda day one, kufika akakuta jamaa wengi nje, asubuhi saa mbili wamekaa hawafanyi kazi.
Mlango ulipofunguliwa wakaingia 30 tu kati ya mia na kitu walio nje.
Wamepiga kazi mpaka saa saba kwa mbinde.
Kiroba cha kilo 25 kinashushwa wao wanabeba wanapeleka kwenye ghala.
Hamna story ni kazi. Mashine inaunguruma tu. Ni viroba juu ya viroba.
Sasa saa saba muda wa kula mashine zina zimwa. Kuja kuangalia alipokua anapeleka viroba, kaweka mlima zaidi ya viroba 500,
Wameenda kula ile kurudi, walirudi watanoππππ.
Mashine zimeanza kuunguruma viroba vinashuka tu. Alibeba kumi tu. Akatoka nje, kufika nje anakuta jamaa wanadai ujira wa siku tatu hawajalipwa. Aliondoka pale pale. Nilimkuta jioni karudi kachoka sana. Ndio kanipa hii story.
Shukran mdau napata madini na pia kufanya maamuzi juu ya hili pia kuna mtu nae Kaniambia ivyo mshahara 280/290Kile kiwanda wasukuma ndio wengi.
Wale wakongwe kabisa wanakaa hostel za wachina
Wengine wamepanga Mkiu
Njopeka
Kimanzi
Nasikia ni 280,000 kwa mwezi