Kijana nikwambie tu mimi pia nimesoma ICT tupo boti moja na nimemaliza mwaka jana, kazi zipo moja moja hivyo hvyo ila kiukwel hii fani ina ushindani sanaa, sema ni rahis sana kujiajiri unaweza ukajiajiri bila mtaji wowote sure nakwambia maisha yakasonga, kuhusu mishahara ni sawa tu na wanaosoma kada nyingne kama economics, accounting. Pia ktk IT cha muhimu zaid ni competence, GPA haitakubeba sana, unaweza kuwa una GPA kubwaa ila hujui hata ku assign IP addres ktk computer zilizo katka network, GPA kubwa lakini huwez kuandika hata simple SQL query ya ku retrieve data. Hvyo nakusih kama bado uko chuoni unasoma hakikisha unakuwa vizuri hata ktk ishu moja, networking, database,programming, web technology e.t.c. Ukiwa comptent hutatamani kuajiriwaa.