Ajira hizi ni kufunga ndoa na ufukara!

Tulivokuwa chuo tulikua tunaongea sana bila kujua hali ikoje mtaani...et nikimaliza chuo nafuga kuku ndani ya mwaka nakua tajiri..mara ohh sifanyi kazi bila mshahara wa milion..sijui nani ananifaham nikimalza tu chuo nampigia simu napata kazi .hahahah.
 
R.I.P ruge haya ya kujiamini na kuwa wajasiriamali ndiyo ilikuwa wimbo wako kuwahamasisha vijana
 
Back
Top Bottom