Ajira Azania Bank usijiangaishe

Ajira Azania Bank usijiangaishe

masaumbe

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
42
Reaction score
11
Habari wana JF,
Azania Bank plc wametoa Kazi mbalimbali to the public,vijana waapply,Lakini ukweli na undani wa kazi zile tayari zina watu ambao wako pale internship for a long time,usijisumbue kuharibu muda wako.
 
Mmmmh usidanganye watu we mwenyewe umeapply unawachuza wenzako! Ingekuwa hao wa intership basi wangeweka internal vacancy.
 
Wakati mwingine msiwe mnakata tamaa kiasi hicho,jaribu huwezi kujua!
 
Baba mzazi,sitaki kubishana na great thickers,what i said is true,muda utafika mtapata majibu
 
Kama kuomba online ni bure kwa nini usiombe??

Vijana punguzeni uoga wa maisha na challenge zake....
 
mtoa mada u a ryt!
Mi kuna m2 namfaham(nimesoma nae),yupo pale headquater, hata yy anasema staf wote waliingia kwa kupigiwa pande!
Na walijua baada ya kuulizana kila mtu kafikaje pale!Hyo ndo hali halisi
...ombeni lkn huwezi jua
 
aisee; usikate tamaa, jaribu tu bahati yako, pengine wanaweza wakakosea wakakuita interview; bahati hiyo ikitokea, hapo ndo usifanye makosa!
 
Kuapply ni kupoteza muda bureee, nshaaply hadi nmechoka" cku hz ni who you know sio what you know
 
Jaribuni but hizo pesa stationary ni bora mtoe sadaka,Ajira za Bank ni ngumu sana kama hujulikani,Zaid ya CRDB,kwingine kote kujuana tu,even CRDB kidogo unaweza pata kwa interview
 
vijana acheki kupigana misumari kama wachezaji wa soka la bongo

wapo wenye bahati, wapo wenye uwezo, wapo wenye vyote nk. kuomba kazi hakukupunguzii chochote kile, jaribu ukikosa tunza application yako, ipitie next time, iboreshe na uiweke tayari for the next application

siku zote kujaribu ni kujifunza, na kujifunza huongeza ujuzi na maarifa
 
  • Thanks
Reactions: amu
Jaribuni but hizo pesa stationary ni bora mtoe sadaka,Ajira za Bank ni ngumu sana kama hujulikani,Zaid ya CRDB,kwingine kote kujuana tu,even CRDB kidogo unaweza pata kwa interview

Acha ku-generalize kuna banks kibao wanaajiri bila longo longo wala kujuana...
 
Acha ku-generalize kuna banks kibao wanaajiri bila longo longo wala kujuana...

aisee ungeniorodheshea nipeleke apllications zangu.
Nisaidie kwa hilo
 
Habari wana JF,
Azania Bank plc wametoa Kazi mbalimbali to the public,vijana waapply,Lakini ukweli na undani wa kazi zile tayari zina watu ambao wako pale internship for a long time,usijisumbue kuharibu muda wako.
we vipi kwanini utukanye tusijaribu bahati yetu? au wewe ni mmoja wa hao walio kwenye internship sasa unatukatisha tamaa tusiapply? mimi nitaapply ili nikose nihakikishe na sio kuletewa na kushawishiwa na watu!
 
hahahahaaa..jaribu bahati yako!!
 
Back
Top Bottom