Ajira Azania Bank usijiangaishe

Ajira Azania Bank usijiangaishe

Habari wana JF,
Azania Bank plc wametoa Kazi mbalimbali to the public,vijana waapply,Lakini ukweli na undani wa kazi zile tayari zina watu ambao wako pale internship for a long time,usijisumbue kuharibu muda wako.

Point yako hapa hasa ni ipi?? mimi kuna jamaa yangu kapigiwa simu na legal officer akamuambia atume maombi chap!!
 
Huyo Rafiki yako aliyepigiwa simu na Legal Officer,Endapo atapata kazi Azania,basi naomba wanajamii msiniamini Tena hapa Jamvini,Ukweli ndio huwoo,Licha ya yote hayo,kaka yangu ni branch Manager
 
Huyo Rafiki yako aliyepigiwa simu na Legal Officer,Endapo atapata kazi Azania,basi naomba wanajamii msiniamini Tena hapa Jamvini,Ukweli ndio huwoo,Licha ya yote hayo,kaka yangu ni branch Manager

Hawa ndo watu ambao hawatakiwi katika jamii.
 
Huyo Rafiki yako aliyepigiwa simu na Legal Officer,Endapo atapata kazi Azania,basi naomba wanajamii msiniamini Tena hapa Jamvini,Ukweli ndio huwoo,Licha ya yote hayo,kaka yangu ni branch Manager

Tutamfukuza kazi kaka yako.
 
Point yako hapa hasa ni ipi?? mimi kuna jamaa yangu kapigiwa simu na legal officer akamuambia atume maombi chap!!

It is unethical....kutaja jina au position ya mtu kwa sababu if anything leaks in the near future could be accountable.
 
aisee ungeniorodheshea nipeleke apllications zangu.
Nisaidie kwa hilo

1: Advans Bank
2: Access Bank
3: Akiba Commercial bank
4: Covenant Bank
5: Bank ABC
6: Standard Charterd Bank
 
Wazee,Azania ina watu wake,mnakaa nyumbani mnaangalia big brother Africa,badala ya Volunteer??? Kazi humfwata mwenye kazi pamoja na Sala nyingi,GPA is not an issue sanaa if ua above 3.0
 
It is unethical....kutaja jina au position ya mtu kwa sababu if anything leaks in the near future could be accountable.

Kuna kampuni ngapi zenye legal officers ndugu?? mimi sijataja the said organization and that said im not liable for any..
 
Huyo Rafiki yako aliyepigiwa simu na Legal Officer,Endapo atapata kazi Azania,basi naomba wanajamii msiniamini Tena hapa Jamvini,Ukweli ndio huwoo,Licha ya yote hayo,kaka yangu ni branch Manager

You are mentally impaired..
 
Kwanini mnapenda kukata tamaa jamani, kuna vyuo vikuu kibao sasa hivi na mbaya zaidi kazi za bank huwa wanachukua mtu yoyote kikubwa uwe na degree na uwe ulifaulu hesabu either O level au A level (according to matangazo yao), na kiukweli policy ya shirika lolote huwa linawapa kipaumbele watumishi wa ndani kuliko wa nje lakini bado haizuii wewe wa nje kuomba maana bado unaweza ukamshinda yule wa ndani na ukalamba ajira. Kingine katika ulimwngu wa sasa mkubali kufanya internship hata kama watakurudishia nauli na chakula maana kuna fursa nyingi zimejificha kwenye organisation nyingi ila vijana wengi hawajui

Zile hisabati za probability zilikuwa si kwa ajili ya kujibia mtihani tu bali zipo applicable mpaka sasa hivi katika kufanya tathmini ya nafasi ya kila mmoja katika kupata ajira assuming nafasi zilizopo 10 alafu application walizopokea ni 400, hapo chances ni ndogo but unaweza kuwa wewe.
 
sio Azania tu karbu Benk zote,nina jamaa angu ameajiriwa barclays bila hata interview
 
Pata hela chapchap kwa kufanya kazi onlin.Bpfya linki hii na uanze sasa http://ThePaidTask.com/?refcode=1786
 
Habari wana JF,
Azania Bank plc wametoa Kazi mbalimbali to the public,vijana waapply,Lakini ukweli na undani wa kazi zile tayari zina watu ambao wako pale internship for a long time,usijisumbue kuharibu muda wako.
Jamani si muwekemo uto tuajila na wengine tujipime.
 
Kuna kampuni ngapi zenye legal officers ndugu?? mimi sijataja the said organization and that said im not liable for any..

kwani hapa jf haturuhusiwi kumtaja au kuwataja watu wanaoenda kinyume na taratibu zilizowekwa?kama ndivyo mi sitakuwa tena na imani na jf. Kama mtu anakiuta taratibu zilizowekwa mahali au kazini ambazo zinarudisha maendeleo ya nchi au ya watz ATAJWE HUYO HAFAI KTK JAMII YETU.Kumtaja legal officer sioni kama ni kosa kama ni kweli hufanya au kafanya hivyo, wangapi hufanya hivyo hawajatajwa? TUWATAJE TU KULIPONYA TAIFA LETU.
 
Back
Top Bottom