Puuzeni hii taarifa ambayo mleta mada amemnukuu Naibu waziri wa Afya Juzi bungeni akijibu swali kuhusu uhaba wa watumishi, ndipo waziri akajibu kwamba Serikali ina mpango wa kuajiri watumishi wengine 8,000.
Hivyo mleta mada kaleta taarifa bila kujua Tamisemi na wizara walishatoa Tangazo la Ajira toka Mwezi April na watu walishagaomba hizo Ajira na sasa wanasubiria kuchaguliwa na kupangiwa kazi Mwezi ujao JUNE 2023.
Hakuna Tangazo jingine la kuomba Ajira bali Tamisemi walishatoa kibali cha Ajira Afya 8000 na Wizara Ajira 247 toka Mwezi APRIL.