Ajira kupitia Wizara ya afya

Naomba ufafanuzi kutoka kwa wizara je wahitimu wa mwaka huu kwenye hizi fani hawaruhusiwi kuomba maana Kuna leseni za kitaaluma zinatakiwa wakati hazitoki kwa wakati na maombi Yanalazimisha mpaka leseni iwekwe ili kumove
 
Ukae kwa kutulia utaomba mwakanj ukipata leseni
 
Naomba ufafanuzi kutoka kwa wizara je wahitimu wa mwaka huu kwenye hizi fani hawaruhusiwi kuomba maana Kuna leseni za kitaaluma zinatakiwa wakati hazitoki kwa wakati na maombi Yanalazimisha mpaka leseni iwekwe ili kumove
Hapo usihangaike mkuu...subiri upate leseni
 
Naomba ufafanuzi kutoka kwa wizara je wahitimu wa mwaka huu kwenye hizi fani hawaruhusiwi kuomba maana Kuna leseni za kitaaluma zinatakiwa wakati hazitoki kwa wakati na maombi Yanalazimisha mpaka leseni iwekwe ili kumove
Mbona tangazo linajieleza, wamesema uwe na leseni hai.
 
Hivi hizi ajira ni kweli kwamba watatenda haki??? Au hizo nafasi teari zina watu?? Doh nchi yangu...!
 
Ajira zenyewe mia 2 waache mapuuza ni Bora wasingetangaza waweke wajomba zao tu kuliko kuchoshana mabando bei ghali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom